AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
maana yake nini Mkuu??Mashabiki wengi wa hii team ni ma TONDOGOSO tu
Sunday match ninaweza kusema ni game of the season,
Ni zile mechi ambazo mabeki ndio wanafunga,watakuja kwa kutaka 3points ila wataondoka na 0 points.
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs hana sare hata mojaSpurs wamekwama Leo, Burnley ni noma, walitoa draw ya kikatili kwetu. Hawajafungwa mwaka huu (2019) hata game moja. 2:1 safi sana.
Ze Dudu wewe ni Timu gani? Maana niliposema walitoa draw kwetu, ume - refer Spurs.
Hii mechi nauogopa sanaSunday match ninaweza kusema ni game of the season,
Ni zile mechi ambazo mabeki ndio wanafunga,watakuja kwa kutaka 3points ila wataondoka na 0 points.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wewe tu,hii ni kwa kila mmoja na ukiona hivyo ujue 3 points tunazo
Matic- hakuonekana wakati wachezaji wakiingia hotelini ,anaweza kuukosa huu mchezo.
Martial hakuonekana pia ila Lingard alionekana
Sent using simu mbovu