Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kutoitwa kwa icard ni ishu ya mwanamke alichukua mwanamke wa mshkaj wake ambae pia ni mshkaj wa messi so influence ya messi national team ndio ikasababisha asiwe anaitwa
Hizo ni stori za hapa na pale, wahusika katika nyakati tofauti wamekuwa wakikanusha huo uvumi

Back to the topic........

Na goli zake 9 kwa msimu huu, anafaa kuja OT kuleta mapinduzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Walompa kazi kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge""........
..
""hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari,"

Chief wew ni shabiki wa timu gani kwanza....pili inamaana hujui kama fergie alihusika kwenye appointment ya ole?au na yeye hana football knowledge?....na inamaana hadi kufikia sasa unamaanisha ole amefanya vibaya?
Fergie pia ndie alietuletea Moyes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ubishi wa nani ni nani hata siuelewi

Kiufupi wanaosema Jose sio kocha, wanakosea na tena wanakosea sana. Kusema Jose sio kocha, ni kumtukana SAF, Pep, Wenger, Ancelot & co. maana wakati Jose anabeba 20+ trophies nao walikuwa wanapambana naye. Ina maana walishindwa na mtu ambaye sio kocha.

Kusema kwamba Jose ni kocha wa kizamani pia ni kosa kubwa. Kocha wa kizamani gani ambaye amechukua Europa 2016/2017 na Carling Cup? Embu nikumbusheni makocha wa kisasa Klop, Sari, Ancelot, Emery wamechukua kombe mara ya mwisho lini?

Jose ana uwezo mkubwa, lakini ni kocha wa misimu 2, ame prove hivyo sio akiwa United tu. Tatizo kubwa linalomsumbua José ni namna ya ku handle watu wake, MAN MANAGEMENT.

PIA

Kusema Ole hana uwezo ni kumkosea heshima huyu jamaa. Wakati anakabidhiwa Molde huko Norway ilikuwa haijawahi kuchukua kombe la ligi kuu, yeye ameawapatia makombe 2. Sasa ameiacha ikiwa nafasi ya 2 au 3 kama sijasahau.

Cardiff kwa OGS was a failure. Tatizo alitaka acheze mpira ambao kwa mujibu wa wachezaji alionao (kiwango chao) ilikuwa ni kama kutumia vitani mbinu za wenye bunduki wakati una mishale. Vita ya namna hiyo lazima ushindwe vibaya. Alikiri kwamba alifanya makosa.

Kuhusu kuanguka/kufeli, SAF mwenyewe miaka ya mwanzoni akiwa United aliboronga sana. Ukweli ni kwamba kila mtu anafeli duniani, ila tunatofautiana reaction yetu baada ya kufeli.

Ukiacha rejea ya miaka ya nyuma, Ole ameonesha uwezo tangu aingie United, mechi 12 kashinda 10, 1 ka draw na 1 kapigwa si jambo dogo. Hivyo ameonesha uwezo.

Mwisho, Ole hajateuliwa kuwa kocha wa United, bado ni option tu. Option nyingine kuna akina Pochetino n.k

Na kutumia matokeo ya PSG dhidi ya United kama kigezo cha kumpima OGS ni kiburi cha Mashabiki wa United ambao wanaamini wana wachezaji bora kama wa PSG. Itatuchukua si chini ya 400+ million pound kufika kikosi cha PSG cha sasa.

Mei ndio utakuwa muda mzuri ku judge Ole kama anafaa kuwa kocha wa United au laa. So far anafanya kazi nzuri sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tutulie kidogo na dongo la PEP

"
"The big mistake is believing you are better than anyone. It is a mistake, like United are praised and 'better than PSG', but you see what happened. You have to be calm and prepare well."

Sent using simu mbovu
 
Kumekuchaaaaaaaaaaaa
52967066_560342214444839_349238607054321630_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
David De Gea is close to signing a new contract where he will become the highest earner in PL history, according to Jonathan Northcroft of the Sunday Times. It is said that the Spanish goalkeeper will earn £90M over a period of 5 years.
-
If anyone is going to sign a new contract it has to be this man. Deserves all the money we are going to pay him. Best ‘keeper in the world
-
51413996_102777947479914_7157868869141390731_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ana pesa mbayaaa...Familia ya Glazer bado hawajaamua kama wauze au lah...ila kwa mshiko wanaopewa lazima washawishike waiuze..Mwaka jana member mmojawapo wa Galzer family alienda kufanya mazungumzo juu ya kununua club ya united..na huyu jamaa yupo serius anaitaka hata saa 10 jion...anamfata mwenzk pale city na jamaa wa city hana hela aliyonayo huyu M.Bin salman
Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman amepanda dau la kutaka kuinunua klabu ya Manchester United kufikia shilingi trilioni 11.4. Iwapo biashara hiyo itafanikiwa, familia ya Glazer ambayo ni wamiliki wa sasa wa klabu hiyo, watapata faida shilingi trilioni 6.6View attachment 1025077

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ana pesa mbayaaa...Familia ya Glazer bado hawajaamua kama wauze au lah...ila kwa mshiko wanaopewa lazima washawishike waiuze..Mwaka jana member mmojawapo wa Galzer family alienda kufanya mazungumzo juu ya kununua club ya united..na huyu jamaa yupo serius anaitaka hata saa 10 jion...anamfata mwenzk pale city na jamaa wa city hana hela aliyonayo huyu M.Bin salman
Aichukue tu asee Glazer washachoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo vipi??

Tunawazuia vipi hawa Chelsea pale Stamford bridge na tuendelee hatua nyingine??..
 
Wakuu leo vipi??

Tunawazuia vipi hawa Chelsea pale Stamford bridge na tuendelee hatua nyingine??..
Tusiwatazame Chelsea kama wabovu kwa kuwa walibugizwa sita na timu bora.

Kikosi chetu pale katikati bado ni pazito sana kwenda na kasi ya kina kante

Washambulizi wetu bado nao ni tia maji tia maji. Hakuna anayeweza kulazimisha kupata matokeo.

Tusubiri tuone kama Alexis ataamka.
 
Ni game ngumu ila ndio kipimo chake Ole kingine tactically akiwa vizur game haitakuwa ngumu sana but it's 50/50 game muhimu wachezaj wapambane ya hela yote kuna good combo wakianzaga sanchez na lukaku akitokea pembeni pace ya rashford itakuwa inawapa ugumu mabeki wao mido icheze kwa ufanisi wa Hali ya juu Ev3rything is possible let's bounce backkk


GGMU...
Wakuu leo vipi??

Tunawazuia vipi hawa Chelsea pale Stamford bridge na tuendelee hatua nyingine??..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom