Kwenye umri nimechanganya kidogo, nimekubali kusahihishwa

Lakini kuhusu yeye kutoitwa National Team sababu ya Messi hiyo ni theory inayojaribu kuelezea kwanini anaachwa, na theory sio reality

Ukweli ni kwamba kocha anaona Aguero, Higuan, Dyabala, Messi & co. kuwa mbele yake kiuwezo

Icard hawezi kuwa upgrade ya United foward line.

Ukiangalia hata stats za magoli, Mauro ana goli 9 msimu huu, Rash ana 9, Martial nadhani ana 9 pia. Lukaku ana goli 8, japo yeye amefunga goli kila baada ya dakika 178 wakati Mauro yeye amefunga goli kila baada ya dakika 185

United hatakiwi kusajili average player kwa sasa. Anapaswa kusajili mchezaji atakayeleta tofauti kikosini

Sent using Jamii Forums mobile app
Aletwe Dyabala tuwe na Paulo 2. Dogo anaweza ku-assist na kua-atack

Sent using Jamii Forums mobile app
 
65de87f5-8cd6-4640-b7cd-24ddb1343fee.jpg
 
Kutoitwa kwa icard ni ishu ya mwanamke alichukua mwanamke wa mshkaj wake ambae pia ni mshkaj wa messi so influence ya messi national team ndio ikasababisha asiwe anaitwa
Kwenye umri nimechanganya kidogo, nimekubali kusahihishwa

Lakini kuhusu yeye kutoitwa National Team sababu ya Messi hiyo ni theory inayojaribu kuelezea kwanini anaachwa, na theory sio reality

Ukweli ni kwamba kocha anaona Aguero, Higuan, Dyabala, Messi & co. kuwa mbele yake kiuwezo

Icard hawezi kuwa upgrade ya United foward line.

Ukiangalia hata stats za magoli, Mauro ana goli 9 msimu huu, Rash ana 9, Martial nadhani ana 9 pia. Lukaku ana goli 8, japo yeye amefunga goli kila baada ya dakika 178 wakati Mauro yeye amefunga goli kila baada ya dakika 185

United hatakiwi kusajili average player kwa sasa. Anapaswa kusajili mchezaji atakayeleta tofauti kikosini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nani huyo? Kafanya nini kwenye mpira? Au kumfunga atletico ni kombe siku hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliompa kazi, wanaufahamu mpira na siasa zinazouzunguka kuliko sisi Chief. Wenzetu wanafanya maamuzi with purpose. Sosha tumeelezwa ni interim Manager wakati wana-scout na ku-negotiate na Manager atakayekuwa potential.

Wapo coaches experienced, wanachapwa vema you. United hakutaka pupa ya kuajiri manager kwa sasa.

Waliompa kazi huyo kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge , ni ma bankers wenye lengo la kuikamua utd ibaki kama Newcastle ndio maana waliona wamfukuze Mourinho maana walijua atahitaji kuspend ili tupate makombe,

Wamefanikiwa sana maana wameajiri kocha wa ndio mzee kwa kila kitu, hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari, bad enough anakuambia can't wait for this TW to close, na hiki ndio akina Woodward walikua wanakihitaji.

Eti hakuna mwenye football knowledge!! How can someone invest mega capital in business he doesn't know? Ni kiasi gani cha share capital kinamilikiwa na familia ya Glazzer?

Hao wachezaji unaowataka unadhani wangetolewa wapi dirisha dogo chief?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hakuna mwenye football knowledge!! How can someone invest mega capital in business he doesn't know? Ni kiasi gani cha share capital kinamilikiwa na familia ya Glazzer?

Sent using Jamii Forums mobile app
May be kabla sijakujibu swali lako nikuulize swali moja, unajua kabla ya Glazers' kuanza kuimiliki utd ilikua na deni kiasi gani? Na saizi utd ina deni kiasi gani? Hizo pesa zimetumika wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliompa kazi huyo kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge , ni ma bankers wenye lengo la kuikamua utd ibaki kama Newcastle ndio maana waliona wamfukuze Mourinho maana walijua atahitaji kuspend ili tupate makombe,

Wamefanikiwa sana maana wameajiri kocha wa ndio mzee kwa kila kitu, hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari, bad enough anakuambia can't wait for this TW to close, na hiki ndio akina Woodward walikua wanakihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Walompa kazi kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge""........
..
""hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari,"

Chief wew ni shabiki wa timu gani kwanza....pili inamaana hujui kama fergie alihusika kwenye appointment ya ole?au na yeye hana football knowledge?....na inamaana hadi kufikia sasa unamaanisha ole amefanya vibaya?
 
May be kabla sijakujibu swali lako nikuulize swali moja, unajua kabla ya Glazers' kuanza kuimiliki utd ilikua na deni kiasi gani? Na saizi utd ina deni kiasi gani? Hizo pesa zimetumika wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vilabu vya Ulaya siyo Charity. Ni Kampuni za biashara. Mbali na kutakiwa ku-balance kwa kutupa furaha mashabiki ambao ndo mtaji wao mkubwa, na sisi hatuna budi kufahamu kuwa wanafanya business. Dirisha dogo unaweza uziwa mchezaji wa kiwango kidogo lakini kwa hela kubwa. Wachezaji wa kutufaa sisi tusingewapata dirisha dogo labda wale wa kukuza 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom