Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,598
Likes
3,439
Points
280
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,598 3,439 280
man-u-png.823085

Full name: Manchester United Football Club

Nickname(s): The Red Devils

Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.

League: Premier League

Website: ManUtd.com


traford-jpg.823091

Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m


1-jpg.827629

Co-Chairmen: Joel na Avram Glazer

1545569869324-png.975419

Interim Manager: Ole Gunnar Solskjaer​

Manchester United Trophies:
League Tittles: 20

First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)

European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)

FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)

League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)

Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)

1-jpg.827615

Manchester United Trophies' Cabinet

kombe-jpg.514134

Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)

Follow this thread for team updates!
 
Last edited by a moderator:
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,882
Likes
10,434
Points
280
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,882 10,434 280
Naona kama Ole kesho ataanza na Jones..nahisihisi hivyo..but lets wait

United Fan
yule bwege aliyesema maisha yetu tunayoishi kila siku hayana tofauti na gwaride hakukosea hata kidogo.
Yule fala aliyesema maisha yetu hayana tofauti na mbio za vijiti pia hakukosea hata kidogo, nimebaki najiuliza kwa nini watu hawa wawili hawakupewa tunzo ya nobel?

leo hii victor lindeloff amekuwa baba mwenye nyumba after david de gea.
endeleeni kupanga vikosi vyenu lakini huyu jamaa pichani awepo kwa lazima kwa sababu ndiye aliyeshikilia ufunguo wa maana halisi ya maisha.

Life is a race, if you don't run fast you'll get trampled
1549897396137-png.1019927
 
Lo celso Jr

Lo celso Jr

Member
Joined
Jan 15, 2019
Messages
47
Likes
70
Points
25
Lo celso Jr

Lo celso Jr

Member
Joined Jan 15, 2019
47 70 25
Tuiangalie mechi yetu ya kesho, tuachane na hao Chelsix;

Tukianza na PSG kesho nakiona kikosi kikianza kama ifuatavyo;​

Buffon

Kehler Kimpembe Silva Bernat

Paredes Marquinhos Veratti

Di Maria Mbappe Draxler

>Kehler anaweza kuanza kwa sababu Meunier ni majeruhi, na huyu Mjerumani Kehler anaonekana anaweza kuwa mbadala mzuri.

>Marquinhos naona akimuweka benchi Dani Alves kesho kwa sababu alicheza vizuri kwenye mechi zote za Liverpool vs PSG kwahiyo sioni nafasi ya Alves hapo kesho.

>Adrien Rabiot nasikia hata kwenye kikosi kinachokuja hatokuepo kwa sababu hataki kuongeza mkataba anataka kusepa.

>Tutarajie kumuona Paredes kesho akianza au akitokea benchi.

>Kesho Mbappe atakaa pale mbele aliaweze kuwapa tabu mabeki wetu kwasababu ndio mtu pekee aliyebaki wa kuogopwa kwasababu ya mbio zake kama kweli Cavani hatokuepo.

>Julian Draxler na Angel Di Maria ndio watakao tuletea tabu maeneo ya pembeni kama watafanikiwa kupadhibiti na kumpitishia mipira Yule kiberenge Kylian Mbappe Lotin.

>Kama kocha anaroho ngumu sana basi atamuanzisha Di Maria kushoto, Mbappe kulia na pale mbele atakaa Choupo Moting.Kwa upande wetu naona kikosi kikianza kama ifuatavyo;​

Rashford

Martial Pogba Lingard

Matic Hererra

Shaw Bailly Lindelof Young

De Gea

Kikosi chetu kitaanza hivyo kama wengi tunavyotarajia.

>Rashford atakuepo kwasababu anaonekana kuwa kwenye wakati mzuri kuliko Lukaku.

>Martial atamuweka nje Sanchez, kwahiyo Sanchez ataweza kutokea benchi kulingana hali ya mchezo itakavyokuwa.

>Matic na Hererra shughuli yao inajulikana.

>Bailly atamuweka nje Jones kwasababu Bailly anaweza kukimbizana na Yule kiberenge wao pale mbele, ingawa kama atazidiwa tutarajie kuona akipata kadi nyekundu kwasababu Bailly akilizake huwa anazijua yeye tu.

>Kimsingi mpaka sasa mechi iko upande wetu kabisa labda tushindwe wenyewe tu, maana kama angekuepo Neymar, Cavani na Meunier basi kazi ingekuwa ni kubwa zaidi, ndio maana hata kwa ale tunaobeti tunaona kabisa odds za Man U zimeshuka sana mpaka 2 wakati kipindi Mou yupo odds zetu zilikuwa 5+…

(Naomba kesho tuwepo humu ndani, marafiki zetu wa Team za Alhamisi watakuja kututembelea na wengine watakuja kujifariji baada kipigo kikali walichokipata)

GGMU…GGMU..GGMUMechi itakuwa ngum bado kwa pande zote mbili lakn nauona ushindi wa magoli 2+ ukienda ot tukipata na cleansheet itapendeza zaid all in all mkuu umenena vizur sana ndio game za kuwaonyesha ukubwa wetu hawa mabishoo wa paris

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
1,674
Likes
2,138
Points
280
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
1,674 2,138 280
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,134
Likes
7,446
Points
280
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,134 7,446 280
Gemu ya kesho tuna nafas ya kuimaliza mapema kabisa pale OT ....tukienda paris watakua na cavan na watacharuka sana hawa jamaa
Sure..tuna uwezo mkubwa tu wa kumaliza mechi kesho,,vijana wapambane maana 2nd Leg itakuwa tough kwetu

United Fan
 
ruralofficer

ruralofficer

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Messages
1,445
Likes
1,551
Points
280
ruralofficer

ruralofficer

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2014
1,445 1,551 280
Naona press conference ya leo, OLE kaenda na kijana wake Martial.
Ilikua poa martial ana aibu kinoma,sababu kubwa ni kwakua nusu ya reporters wanaongea kifaransa kwaiyo jamaa alikua kama translator pia.
Nilipenda alivyojibu if players wanataka solskjaer awe kocha after this season

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,134
Likes
7,446
Points
280
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,134 7,446 280
Lingard anaanza..Sanchez hajaonyesha sababu yoyote ya yeye kuanza game hii TBH...ila pia Lingard sio kwamba ni best kihivyo,ila muunganiko wao kule mbele umeonyesha kitu kwenye mechi nyingi chini ya OGS

Martial Rashford Lingard ..hii lineup mimi ndo naona ni ya kwanza kwenye kichwa cha OGS

My Lineup

De Gea

Young Bailly Lindelof Shaw

Herrera Matic Pogba

Lingard Rashford Martial


Possible lineups.....sema cjajua hii mechi kama inamfaa sana mtu kama Sanchez View attachment 1020455
United Fan
 

Forum statistics

Threads 1,262,318
Members 485,561
Posts 30,120,598