lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,199
- 28,080
Timu zote kutoka jiji la Manchester zitatoka kapa msimu huu.
Siyo kombe siyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu mkuu?
Timu zote kutoka jiji la Manchester zitatoka kapa msimu huu.
Siyo kombe siyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebainika kuna Watu hawashiriki kwenye Matukio ya Kijamii yasiyokuwa Misiba! Kwahiyo husubiri misiba tu kwa Majirani ndiyo huibuka kwa kufata kula.
Kwahiyo Kwenye Kamati tulikubaliana kuwa Kula Kila Mtu Kwao.
Mashabiki wa Chelsea wanasema Sari afukuzwe akabidhiwe Frank Lampard amalizie msimu.
Narudia tena naisevu comment yako kama nilivyosema jana
Upo sawa.Kama hukusoma Pure Mathematics nadhani japo Basic Applied Mathematics ulisoma.
Hiyo 30 ilianza na 1 ikaja 6 ndiyoikafika 30.
Sterling siyo pimbi ni mashine hatari sana
Kwa ushirikiano wanaotupatia man city,naamini hatutawaangusha tukikutana na liverpoolGoal Difference kati United na Chelsea
Saa 12:59 jioni ilikuwa, United 17, Chelsea 22
Saa 20:03 usiku ipo hivi, United 17, Chelsea 18
Nakumbusha mpira haujaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ushirikiano wanaotupatia man city,naamini hatutawaangusha tukikutana na liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni 17 kwa 17Goal Difference kati United na Chelsea
Saa 12:59 jioni ilikuwa, United 17, Chelsea 22
Saa 20:03 usiku ipo hivi, United 17, Chelsea 18
Nakumbusha mpira haujaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma comment zote za wanaojiita mashabiki wa UTD, nafurahi kwa kuwa naona wengi wameibuka kati hapa baada ya OGS kushika timu. Sasa hivi wamekaza vidole gumba vyao kuibeza Chelsea kwenye game ya leo. Hehee niseme kifupi tu kazi ipo leo siyo kinyonge kama mnavyodhani.
Tambueni mi nikidraw tu nawatoa top four nyie sijaongelea ushindi hapo. Hata nikifungwa bado nafasi ya kurudi ninayo halafu mnachojisahaulisha ni kama vile hamtokuja kufungwa wakuu TIME WILL TELL. Hahaaa I Love This Game.
1900 PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi?Goal Difference kati United na Chelsea
Saa 12:59 jioni ilikuwa, United 17, Chelsea 22
Saa 20:03 usiku ipo hivi, United 17, Chelsea 18
Nakumbusha mpira haujaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari 6Man city akiongeza goli la 6 badi chelsea nayo inakuwa nafasi ya 6