radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Labda aibe avunje milango ya chama cha soka england ashirikiane yeye kante na luiz
Labda aibe avunje milango ya chama cha soka england ashirikiane yeye kante na luiz
Atakuwa na Carabao soon.
Nani anashika nafasi ya sita?Kwa nini hukutabiri mkataba wa sarri hadi mnashika nafasi ya 6 kama upo makini?
Hahaha...Hivi huoni hata aibu mzee?
Kwenye table yenu mliyoandaa mashabiki wa chelsea tzNani anashika nafasi ya sita?
Iyo nafasi ni ya watu.
Leo mpka saa tatu utakuwa nafasi ya tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu ya nini wakati Nina fainali mkononi?
Nikimanisha kwamba ndio kikombe cha kwanza kubeba.Umeulizwa kocha wako kashinda kombe gani? we unasema umeingia Finali ya Carabao Cup daah!!😀
Miaka 30 na miaka 6 huoni tofauti hiyoSasa Ahadi imetimia!
Tuliitwa Wana Wa Historia, Lakini sasa ni faraja kuwa tumepata Wanahistoria wenzetu wanaojivunia Mafanikio (EPL) ya Ferguson
Nikimanisha kwamba ndio kikombe cha kwanza kubeba.