Kwanini uteseke
Man U itabidi amchape Liverpool ili ujirani ufanye kazi zaidi.City alimfunga Arsenal United tukawa wa 5 leo Chelshit anakula kichapo tunakua wa 4 huu ndio unaitwa ujiran mwema
Na sisi lazma turudshe fadhila kwa ndugu zetu city weekend ijayo
hhaahaaa! Hii ndiyo comment ya wikiCity alimfunga Arsenal United tukawa wa 5 leo Chelshit anakula kichapo tunakua wa 4 huu ndio unaitwa ujiran mwema
Mkikutana na city tegemeeni amawarudisha eneo lenu.City alimfunga Arsenal United tukawa wa 5 leo Chelshit anakula kichapo tunakua wa 4 huu ndio unaitwa ujiran mwema
Kipind hicho tutakua nafas ya piliMkikutana na city tegemeeni amawarudisha eneo lenu.
Ulisahau pale etihad tuliwashindilia tatu na ikachaguliwa kuwa mechi bora ya msimuMkikutana na city tegemeeni amawarudisha eneo lenu.
Ni KWELI KABISA mkuu, afadhari yenu nyinyi milipa team SARRI........