Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmmhhhhhhhhhhhhhhh

3-0............David Luiz

Poleni sana watani.....Ndo ukubwa huo
 
Hii game tunaweza kupoteza hii maana naona leo hatujatulia kabisa
 
Hii game bado tuna uwezo wa kushinda,jamaa defence yao inashake tukiongeza pressure tutarudisha,ikifika dakika ya 70 aingie Chicharito atoke Wellback

Sir Alex angependa uwepo mtu kama wewe uwanjani labda Howard Webb atarudisha huwezi juwa.
 
Hii game tunaweza kupoteza hii maana naona leo hatujatulia kabisa


Hehehehe Mkuu Pa bado mna muda wa kutosha kushinda 4-3 🙂🙂...Angalia moyo lakini usiende mbio kupita kiasi.
 
Beki. Yenu leo ukichanganya na Almunia wenu golini mnaweza kula mkono au zaidi leo.

Bila kusahau kuwapa credit Chelsea kwa mpira mzuri wanaocheza leo.
 
Back
Top Bottom