Yamekuwa hayo tena?
Pole..........................Na m'bado..........
Hiyo inaitwa Prakata Tumba.......lol
Jamaa akicheza hata kama mechi nyepesi tunapata taabuDada Gea ana bahati mbaya kweli!!!!
Tutarudi tu ila tatu nyingi sana
Webb kaanza kutoa mchango wake
Mi leo nipo upande wenu......Thanx hommie, ni noma!..duh!
Muda bado sana.....Cha msingi beki yenu na dada Gea wasifanye uzembe tu pale nyuma...Tutarudi tu ila tatu nyingi sana
Gademu..nimeacha kuangalia na mechi kabisa!! Aggrrrr
Refa amewazawadia penalti kuondoa aibu
3 point ahead to manure...