Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uko sawa kabisa mkuu

Ila ukiangalia sisi tumebakiza game ngumu sana compared na arrsenal
Ni bora arsenal aliekutana na mancity na liver mapema sisi tutakutana nao muda ambao tuna fixtures nying na ushindani wao wa title race utakuwa mkubwa zaidi.

All in all OLE kajitaidi sana tunachukua points kwa timu ndogo.
Tukishacheza na liver na mancity ndo tuangalie table tena.
Kama tutakuwa bado juu ya asernal bas tujitambe kuwa hatuta
That would be a fair comparison.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tusijitape kumpita arsenal
Kumbuka mzunguko wa pili arsenal kashacheza na liver man city na chelsea
Sisi tumecheza na totenham tu
Tusijisifu sana mkuu
All in all GGMU

Sent from my iPhone using JamiiForums
Arsenal kwa mwenendo wao sio threat sana kwa upande wetu ukilinganisha na chelsea tunaweza kumaliza juu yao despite tuna mzigo mzito siku za usoni tu lakn pia ndio kipimo kizuri cha kuona Ole tunaweza kumpa nafasi ya kuwa manager next season maana atakuwa ametupa matumaini ya kuirudisha old united kiasi flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiona United dhidi ya Fulham, ROTATION ikichukua mkondo wake tena

Romero, Valencia, Dalot, Smalling, Jones, Fred, Mc Tominay, Mata, Lukaku, Sanchez, Kinda 1 au 2 wakipata nafasi

Niliowataja wanaweza wasipate namba wote lakini, for sure baadhi watacheza hiyo mechi

Mechi hiyo ni February 9, February 12 tupo na PSG, siku 2 tu za mapumziko.

Huu ndio mwezi wa Roho Mbaya. Next fixtures ni Chelsea, Liverpool, Cristal Palace......

Rotation ni kitu cha muhim kuelekea game yetu na psg pamoja na game hizo next fixtures za feb maana hata ukiangalia game yetu na leceister tu wachezaji niliona kama wamechoka mapema hivi sjui shida ilikuwa nn haswa but nadhan kama pia walihitaji ku rest kidogo

Yeah ni kweli Wachezaji walichoka

Lakini mimi naona kama kiwango kibovu walichoonesha ilikuwa ni psychological zaidi kuliko kuwa tired physically. Unadhani tungekuwa nyuma goli 1 na Leicester wanaongoza tungecheza kiboya vile?

Kwenye ishu ya kuchoka hata Leicester walichoka. Unakumbuka walicheza na Liverpool kwenye uwanja mbaya, wenye mabarafu, sijui ukungu!!

Mimi nadhani ile ishu ni mental zaidi. Unakumbuka hata mechi za Newcastle, Juventus away, Southampton (enzi za Jose) au hii ya juzi ya Bunley tulicheza vizuri zaidi baada ya kuwa nyuma. OGS anapaswa kui solve hiyo mentality mapema.

Mimi nadhani, wachezaji wanatakiwa ku cool off, na OGS asiwape pressure wachezaji eti wamsaidie apewe permanent contract. Hizi records za kutokufungwa mechi ngani sijui zinawapa un necessary pressure wachezaji.

Katika mechi nne zilizopita OGS sijamsoma akitumia neno attack attack attack. He needs to be stable. we need to attack attack and attack.
 
Yeah ni kweli Wachezaji walichoka

Lakini mimi naona kama kiwango kibovu walichoonesha ilikuwa ni psychological zaidi kuliko kuwa tired physically. Unadhani tungekuwa nyuma goli 1 na Leicester wanaongoza tungecheza kiboya vile?

Kwenye ishu ya kuchoka hata Leicester walichoka. Unakumbuka walicheza na Liverpool kwenye uwanja mbaya, wenye mabarafu, sijui ukungu!!

Mimi nadhani ile ishu ni mental zaidi. Unakumbuka hata mechi za Newcastle, Juventus away, Southampton (enzi za Jose) au hii ya juzi ya Bunley tulicheza vizuri zaidi baada ya kuwa nyuma. OGS anapaswa kui solve hiyo mentality mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Probably mkuu lakn ni hatari sana kuelekea hizi games nategemea performance yetu dhidi ya fulham itatu boost sana kuelekea game yetu ya champions league na mabishoo wa paris kikubwa kama hatutapata injuries na tutacheza kama games za mwanzoni sina shaka psg,chelsea na crystal tunaweza kutoboa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe mchana niliwaza kuhusu rotation nikapata kikosi changu

Romeo
Dalot Jones Smalling Darmian
Fred Matic Mc Tominay
Mata Lukaku Sanchez
Naiona United dhidi ya Fulham, ROTATION ikichukua mkondo wake tena

Romero, Valencia, Dalot, Smalling, Jones, Fred, Mc Tominay, Mata, Lukaku, Sanchez, Kinda 1 au 2 wakipata nafasi

Niliowataja wanaweza wasipate namba wote lakini, for sure baadhi watacheza hiyo mechi

Mechi hiyo ni February 9, February 12 tupo na PSG, siku 2 tu za mapumziko.

Huu ndio mwezi wa Roho Mbaya. Next fixtures ni Chelsea, Liverpool, Cristal Palace......

Sent using Jamii Forums mobile app

Nanaa
 
Pia hawajatrain week iliyopita barafu ilikuwa nyingi
Rotation ni kitu cha muhim kuelekea game yetu na psg pamoja na game hizo next fixtures za feb maana hata ukiangalia game yetu na leceister tu wachezaji niliona kama wamechoka mapema hivi sjui shida ilikuwa nn haswa but nadhan kama pia walihitaji ku rest kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Nanaa
 
Guys, Paul Ince ana bifu na OGS au nini mbona anakomalia sana kwamba ni unfit for a permanent Job ukilinganisha na Pochetino?
Huyu jamaa to some point unaweza ukakubaliana nae lakn tatizo ni too much critics no credibility at all Ole ana backup na phelan pamoja na carrick imechangia pia kuirudisha team kwenye right track but credits anapewa Ole so far kwa sabb ndio anasimama kama manager kwa muda na ameweza kui handle dressing room Ot..Lakn swala ninalo muona mnaz anpompigia chapuo poche kuwa ndio right man wa kupewa team after Ole kumalizia huu msimu kwangu mm bado naona poche bado hana quality ya kuturudishia united yetu ya zaman yenye ushindan mkubwa ulaya pamoja na ku dominate tena league

Ince anasema Solskjaer hajafanya jipya hata yeye angepewa United angefanya vizuri,Ince alishapewa timu ikamshinda akafukuzwa now amekuwa mchambuzi.

I hate football pundit wanawaponda makocha lakini wao wakipewa timu zinawashinda ( GNeville,Ince,Shearer,Souness) walipewa timu zikawashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa to some point unaweza ukakubaliana nae lakn tatizo ni too much critics no credibility at all Ole ana backup na phelan pamoja na carrick imechangia pia kuirudisha team kwenye right track but credits anapewa Ole so far kwa sabb ndio anasimama kama manager kwa muda na ameweza kui handle dressing room Ot..Lakn swala ninalo muona mnaz anpompigia chapuo poche kuwa ndio right man wa kupewa team after Ole kumalizia huu msimu kwangu mm bado naona poche bado hana quality ya kuturudishia united yetu ya zaman yenye ushindan mkubwa ulaya pamoja na ku dominate tena league

Hata mimi kwa kiasi flani nakubaliana nae kwamba kwasababu tu tunafanya vizuri sahv baada ya Mo kuondoka basi tusijihakikishie kwamba OLE ndo kila kitu maana hichi ni kipindi kifupi tu anachosimamia, hatuwezi jua atareact vipi mfano tukianza kufungwa etc na kwa mtizamo wangu naona POCH ana CV na experience kubwa kuliko OLE na amejiprove tayari PL, hvyo kwa kiasi flani ana point, sema ambacho sikubaliani nae ni kwamba eti hata yeye (INCE) au Steve Bruce wangeweza kufanya hvyo hvyo alivyofanya OLE, hizo ni dharau!
 
Surething mkuu hawa ma pundit wababaishaji sana wanaropoka sana nowadays

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom