Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sure aisee ile namba 7 naona inafanya hajiamini na kutaka kuprove something
Sanchez anahitaji kutulia tu,naona kama yeye na Fred wanawaza sana kutaka kuonesha wanastahili kuwepo MUFC. Hii inawafanya wawe na kitete uwanjani.

Leo nimemuona Sanchez akimpasia adui vizuuri kabisa.

Hata ule uwezo wake wa kupunguza mabeki umepungua kabisa.
 
Kila nikiikumbuka ile mechi bora ya msimu uliopita huwa najiuliza wale city tuliwapigaje comeback mpaka ile game kuchaguliwa kuwa mechi bora ya msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi kubwa Mo alikuwa ni bingwa sana. Kimbinu Mo yuko smart sema falsafa yake, rigidity na uwezo mdogo wa kiuongozi ndo vinamkwamisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo team ilikuwa imechoka sana sijui walilala wapi? Lingard ndo alichoka zaidi mpaka kuna kipindi nilitamani aingie Mata.
Rashford kacheza vizuri kwa upande wangu, Sanchez hakucheza vizuri sana ingawa naimani hata mechi ijayo ataanza dhidi ya Fulham, same goes to Matic naye alichoka sana lakini pale nje alikuepo Fred ambaye simpendi.
Mabeki wamejitahidi sana kukaba, Lindelof na Bailly wamepiga kazi.
De Gea kama kawaida alikuwa vizuri hasa alivyocheza ile freekick.
Tukumbuke Leicester sio wabovu na wanawachezaji wanaokimbiza sana pale mbele hasa Vardy, Maddison, Barnes na Gray,
kwahiyo kupata points pale sio kazi rahisi.
3 importants points, tumehama ule mtaa aliotuacha Mou.
GGMU...GGMU...GGMU...GGMU
 
Yah upo sahihi kwa timu kama Chelsea ambayo tutacheza nayo mbeleni lakini arsenal tushamalizana nao so we must wish them bad luck ambacho ni kawaida kwenye game. Angalia tulipokua wakati Jose anaondoka kama sio kufanya vibaya hawa jamaa kwenye mechi zao tusingekuwa karibu nao pamoja na kushinda kwetu mechi zote hizo under OGS.

Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal na chelsea wote bado tuna game nao mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikiikumbuka ile mechi bora ya msimu uliopita huwa najiuliza wale city tuliwapigaje comeback mpaka ile game kuchaguliwa kuwa mechi bora ya msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mechi kipindi cha kwanza kilivyoisha nilitoka banda la mpira na kuelekea nyumbani nilijua tutapigwa kama kipindi kle enzi ya kna Balotelli ,baadae nilivyojulisha matokeo sikuamini kabisa
 
FYI.
IMG-20190204-WA0026.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumepiga hatua kiasi but lots of improvement inahitajika mfano mzuri ya jana hatukuwa poa kabsa tunatakiwa before atujaenda kucheza game na liver basi game yetu na fulham turudi katika ubora tuliocheza game za nyuma ambazo hatuku struggle kupata matokeo kila game mbele yetu tunahitaji point 3 muhimu no matter tunacheza na nan tumepoteza game nyingi sana kipind cha mou..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tusijitape kumpita arsenal
Kumbuka mzunguko wa pili arsenal kashacheza na liver man city na chelsea
Sisi tumecheza na totenham tu
Tusijisifu sana mkuu
All in all GGMU


Sent from my iPhone using JamiiForums
Concern yako ni sahihi

Lakini Arsenal amedhihirisha kwamba anaweza kupoteza game hata kwa timu "vibonde" mfano Brighton, Westham, Southampton n.k

Lakini pia United pamoja na mechi ngumu walizonazo, game zote ukiacha ya Arsenal tutakuwa OT

Lakini naielewa concern yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Concern yako ni sahihi

Lakini Arsenal amedhihirisha kwamba anaweza kupoteza game hata kwa timu "vibonde" mfano Brighton, Westham, Southampton n.k

Lakini pia United pamoja na mechi ngumu walizonazo, game zote ukiacha ya Arsenal tutakuwa OT

Lakini naielewa concern yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sawa kabisa mkuu

Ila ukiangalia sisi tumebakiza game ngumu sana compared na arrsenal
Ni bora arsenal aliekutana na mancity na liver mapema sisi tutakutana nao muda ambao tuna fixtures nying na ushindani wao wa title race utakuwa mkubwa zaidi.

All in all OLE kajitaidi sana tunachukua points kwa timu ndogo.
Tukishacheza na liver na mancity ndo tuangalie table tena.
Kama tutakuwa bado juu ya asernal bas tujitambe kuwa hatuta
That would be a fair comparison.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom