Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Guys, Paul Ince ana bifu na OGS au nini mbona anakomalia sana kwamba ni unfit for a permanent Job ukilinganisha na Pochetino?

Jamaa anatafuta kiki tu hana lolote alafu aliondoka vibaya United, waligombana na babu hvyo bado ana machungu na club kama Roy Keane tu, tatizo lake kuu (INCE) ndo hilo hilo ana mdomo sana..Babu alikuwa anamuita "big time charlie" na mashabiki wa utd wengi hawampendi na hvyo alivyokuja kwenda Liverpool ndo kabsaa!
 
Wakuu mnatazama game ya liver? wana accumulation of many injury players sasa hii hali ndio naiogopa icje ikatokea kwetu maana hatuna kabsa squad depth ..Ni nzuri ikawapata wapinzani wetu mana itakuwa na faida kwetu kama watakuwa wana struggle kupata matokeo alafu sisi tuendelee kutoa dozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngap ukooo matokeoo..

Injury ni balaa mkuu

Lakini na sisi tusisahau kuwa December tulipigwa na injury za kutosha mpaka kuelekea January

Liverpool wasipoangalia, huu utakuwa mwaka wa 30 wakisubiria kuchukua kombe la premier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nawahakikishia tena sio leo zamani nilisema liva hawana timu ya kuchukua ubingwa, na nawaambia hata hiyo nafasi ya pili hawatoipata
Injury ni balaa mkuu

Lakini na sisi tusisahau kuwa December tulipigwa na injury za kutosha mpaka kuelekea January

Liverpool wasipoangalia, huu utakuwa mwaka wa 30 wakisubiria kuchukua kombe la premier

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Legends wa Man utd nikiambiwa nitaje 8 kwangu ni Peter Schmeichel, George Best, Andy Cole, Eric Cantons, off course Van De Saar, Paul Schools, Giggs, Rooney nao wanaingia.

Andy cole alikuwa hatari huyo jamaa, alikuwa anapiga vichwa hatari
 
kinachoisumbua Liverpool hicho hapo
Screenshot_20190205-091025.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana man u fanyeni kutufollow hapo
 
Injury ni balaa mkuu

Lakini na sisi tusisahau kuwa December tulipigwa na injury za kutosha mpaka kuelekea January

Liverpool wasipoangalia, huu utakuwa mwaka wa 30 wakisubiria kuchukua kombe la premier

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu hawa liver kwa kweli wana hali tete tunaweza kuzipata point 3 muhimu kirahis kwenye game yetu na wao bila kutarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom