Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
nilichokiona kwa Lingard second half ni kumpa shida Herrera na Young si hiko ulichosema maybe tuliona kwa angle tofauti.....sijakupinga ni mtazamo wangu tuKimsingi alkua anablock wapinzani zaidi,Ingawa alijisahau kushambulia hii imefanya aonekane mzinguaji ila amefanya kazi nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app