Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uko sawa kabisa mkuu

Ila ukiangalia sisi tumebakiza game ngumu sana compared na arrsenal
Ni bora arsenal aliekutana na mancity na liver mapema sisi tutakutana nao muda ambao tuna fixtures nying na ushindani wao wa title race utakuwa mkubwa zaidi.

All in all OLE kajitaidi sana tunachukua points kwa timu ndogo.
Tukishacheza na liver na mancity ndo tuangalie table tena.
Kama tutakuwa bado juu ya asernal bas tujitambe kuwa hatuta
That would be a fair comparison.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naungana na ww lakini kwa kuongezea ni kwamba team ikiwa na ushindi mfululizo hata ikikutana na big team hawezi kupoteza kirahisi kwakua players watakua na winning mentality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tusijitape kumpita arsenal
Kumbuka mzunguko wa pili arsenal kashacheza na liver man city na chelsea
Sisi tumecheza na totenham tu
Tusijisifu sana mkuu
All in all GGMU


Sent from my iPhone using JamiiForums
Na hapa ndio kuna nafasi yetu ya big 4
 
The battle at the top will greatly determine the league winner and top 4 teams.The more top 6 teams you play the less chances of top 4 place.This is a season in which winning a battle is not winning the war.

6th Arsenal against top 6
●Man United
●Liverpool

5th Man United against top 6
●Chelsea
●Man City
●Liverpool
●Arsenal

4th Chelsea against top 6
●Man City
●Man United
● Tottenham
●Liverpool

3rd Tottenham against top 6
●Arsenal
●Chelsea
●Liverpool
●Man City

2nd Man City against top 6
●Chelsea
●Tottenham
●Man United

1st Liverpool against top 6
●Man United
●Tottenham
●Chelsea

There are other sturbborn teams like Wolves,Leicester,West Ham United,Bournemouth and Burnley which when playing at home can cause upsets.It now depends on the top 6 team having fixtures against these middle of the table teams.

*The true fight for top 4 has really started!!!*
 
Pep on tittle race. Kuna watu wanateseka?
Screenshot_2019-02-05-19-52-54.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom