Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kesho ni must win game ,

And please City shinda mechi hizo mbili (vs arsenal &Chelsea), halafu sisi tutafanya kitu Feb 24(vs Liverpool).

'Nina wasiwasi na huyu city kwenye hizi mechi mbili, Mara huyo kapigwa na arsenal.'

ANYWAY hebu tushinde mechi zetu kwanza. Let's go OLE's ARMY.
Akiwafunga hao jamaa itakuwa nzuri kwetu hasa tukifanya vizuri kwenye game zetu maana tushaanza punguzwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni lazima tushinde hatuna time ya kuwaombea wapinzani wapoteze tufanye yetu wengine watajuaje wenyew wakifungana ata 10 bila sawa tu ili mradi sisi tume secure 3 points.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekutangulia juu lazima uombe afanye vibaya wakati wewe unashinda maana wote mkiwa mnashinda ni ngumu kumkuta kwa kuwa ameshakuacha kwa points.

Mzee mambo ya kuwa waganga wa jadi hayafai tushinde kwanza ndio tuanze kuomba hayo mengine so far we have that quality of winning many games as long as team yetu itacheza vizuri na mapunguf yakiwa kidogo

Yah upo sahihi kwa timu kama Chelsea ambayo tutacheza nayo mbeleni lakini arsenal tushamalizana nao so we must wish them bad luck ambacho ni kawaida kwenye game. Angalia tulipokua wakati Jose anaondoka kama sio kufanya vibaya hawa jamaa kwenye mechi zao tusingekuwa karibu nao pamoja na kushinda kwetu mechi zote hizo under OGS.

Arsenal kwenye ligi hatujamalizana nae bado..ile ilikuwa FA cup

Nanaa
 
Walete Leicester .... Come on United
manchesterunited___Bta7CZulAi8___.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom