Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
One of the best decision January ni kumuuza Fellaini I hope Jones,Rojo,Darmian,Valencia & Mata nao watauzwa mwisho wa msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kwenye role ya namba 10 tunahitaji mtu kama dyabala ili asaidiane na lingard mda mwingine
NiceNaimani nyuma ya pazia Ed na board wanahangaika sana kupata director of football pia naamini wanahangaika kukusanya taarifa za scouts kuhusu wachezaji wanaoweza kutufaa kuelekea msimu ujao...... Natamani team ingetumia walau paund mil 400 hiv kupata wachezaji 5 tu watuongezee nguvu.... Beki ya kati de light au Koulibally ni sawa... beki no 2 tupate mchezaji mwenye 27/28 ili dalot akue vizuri..... Kiungo mkabaji natamani sana tusajili Ndombele au Neves ingawa ndombele ni bei chee sana kuliko Ruben Neves namba 7 inabidi tutafute kibelenge anaejua kudeal na beki vizuri....na namba 10 inabidi tusajili mtu atakae connect vizuri zaidi team yani namba 10 asaidiane na pogba....kama tukisajili hizi sehem 5 usajili sahizi basi naimani tutawania ubingwa next season
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nazani fellaini auzwe summer(labda kama kuna replacement this Jan), kwa nilichokiona Jana tunamuhitaji kumalizia msimu huu.One of the best decision January ni kumuuza Fellaini I hope Jones,Rojo,Darmian,Valencia & Mata nao watauzwa mwisho wa msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua siyo sis pekeyetu tulistruggle kweny gem gem hiz za kati kati ya wiki, vigogo wengi hali tete
Utd 2-2 burnley
Newc 2-1 city
Tot 0-1 Watford 55'
Liver 1-1 Leicester 50'
Bournemouth 2-0 Chelsea 68'
Sent using Jamii Forums mobile app
Things get tougher nd tougherNilichogundua siyo sis pekeyetu tulistruggle kweny gem gem hiz za kati kati ya wiki, vigogo wengi hali tete
Utd 2-2 burnley
Newc 2-1 city
Tot 0-1 Watford 55'
Liver 1-1 Leicester 50'
Bournemouth 2-0 Chelsea 68'
Sent using Jamii Forums mobile app
Arbaa
Kapigwa 4gJ2 tushinde tu...naona goal difference imeshakaa vzr baada ya chelsea nae kupigwa 3 mzuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapaswa kushinda mechi kama hizo ukichukulia tulicheza homeNilichogundua siyo sis pekeyetu tulistruggle kweny gem gem hiz za kati kati ya wiki, vigogo wengi hali tete
Utd 2-2 burnley
Newc 2-1 city
Tot 0-1 Watford 55'
Liver 1-1 Leicester 50'
Bournemouth 2-0 Chelsea 68'
Sent using Jamii Forums mobile app