GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Iko confirmed sasa.Habari ya Fellaini kwenda china mbona haijawa published,au bado hawajakamilisha??
Nanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko confirmed sasa.Habari ya Fellaini kwenda china mbona haijawa published,au bado hawajakamilisha??
Nanaa
Shukrani sana mkuu nadhani hatutofautiani sana kimawazo, akipatikana director of football bora basi team hakika utafanya development kubwa kwa misimu mitatu ijayo tungojee tuone hatma ya suala hili la director of football inaishia wapidah! hii heshima ulionipa ni nzito kuliko ndevu za lionel messi.
ujio wa pochettino na faida zake kwa mtazamo wangu.
athari yake kubwa ninayoiona ni kurudi tena kwenye zama za kuachana na falsafa, misingi na utamaduni wa klabu iliojengwa miaka mingi iliopita, naamini kama pochettino atawasili msimu ujao hatopendelea kuchaguliwa benchi lake la ufundi hivyo basi atakuja na timu yake ya ufundi, inamaana tutaanza tena upya kama alivyofanya david moyes, LVG na jose mourinho.
- ana uzoefu na ni muumini wa mpira wa kisasa ambao tumekuwa tukiulilia kwa muda mrefu
- ni muumini wa kuwapa nafasi wachezaji vijana na hili tumelishuhudia kwa wachezaji tofauti.
- ana rekodi nzuri sana kwenye suala la kusajili wachezaji, ukiangalia wachezaji wengi aliowasajili tokea yupo southampton hadi tottenham hotspurs wameendelea kufanya vizuri na wengi wao ni wale aliyowasajili kwa fedha chache.
halafu pia siamini kama pochettino atadumu kwa muda mrefu klabuni bila ya kuwa na fikra za kurudi tena spain kufundisha
kwa uoni wangu sioni dalili yoyote ya kuondolewa ole gunnar solskjaer mwishoni mwa msimu hata kama atashindwa kupata nafasi ya nne, kuna nguvu tatu zina mlinda kwa sasa ambazo ni legends aliocheza nao kwa mafanikio makubwa, waliyopendekeza apewe nafasi baada ya kuona jahazi linazama na nguvu ya mwisho ni ya mashabiki wale wa karne ya 20 ambao bado wanaendelea kumuona ni shujaa aliyetakasika kwa kile alichokifanya pale nou camp.
silaha yake nyengine kubwa aliyokuja nayo ni kurudisha utamaduni wa manchester united wa kucheza mpira wenye kueleweka, makocha waliopita kila mmoja alikuja na falsafa yake isiyoendana na damu ya manchester united, wakati wa jose mourinho tulishinda mechi nyingi sana chini yake kuliko mwalimu yoyote yule lakini nidhamu yetu ya ushindi ilikuwa ni ya kiwango cha chini sana.
hata ukiangalia benchi lake la ufundi ni uthibitisho tosha jinsi gani klabu imeshajiandaa kuishi na OGS kwa sababu limejaza watu wanaoendana na utamaduni wa manchester united, siamini kama ujio wa mike phelan ni kwa muda wa miezi sita tu halafu atafute mlango wa kutokea.
kama ishu ni kuwapa nafasi majina makubwa basi klabu tayari imeshapitia hatua hiyo lakini bado tuko pale pale, ukiangalia upande wa pili imemchukua miaka mitatu jurgen klopp kuifikisha liverpool hatua iliopo muda huu cha umuhimu ni kuwepo uaminifu.
Solskjaer, Phelan, Karrick na McKenna ni timu ambayo inahitaji kutafutiwa mwanadamu mwenye uelewa mkubwa wa soka la kisasa na hii ndio kazi ya kwanza anayopaswa aifanye ed woodward.
nasubiria majibu yake siku ya jumapili baada ya kupoteza alama mbili kwa mara ya kwanza tokea awe mwalimu wetu, leicester city ni kipimo chengine cha ukweli.
kuna mlevi mwenzangu ameniuliza hapa hivi ole gunnar solskjaer aliikuta manchester united ikiwa nafasi ya nne?
Sijashangaa..he deserves it! But ningependa pogba angekuwepo pia..Can you imagine Lindelof amekuwa nominated kwenye EA sport player of the month??
Nanaa
Amebadirika sana kipindi hiki hope ataendelea kuimarika zaidiCan you imagine Lindelof amekuwa nominated kwenye EA sport player of the month??
Nanaa
Jamaa ananikosha sana aisee..kaimarika sana
Nanaa
Tumumbuke kwa uzuri au ubaya kwa vyovyote vile maisha razima yaendelee
Yap ni kweli tutamkumbuka,,, ila ni sawa na kumkumbuka EX wako iwe kwa ubaya au hata mazuri yake kipindi uko nae, ila ukumbuke tunamkumbuka mno sanaa Sir Alex kuliko Mou,
Kimsingi Mau alishashindwa kutawala wachezaji kisaikolojia na hiyo ndiyo sababu inayomwondoa kila aendapo
Anasoma mazingira kwanza kabla ya kuanza kutupiaUncle Gonzalo Higuain 65 minutes against ORDINARY BOURNEMOUTH
0 shot on target
0 dribbles
0 key Passes
20 bottles water sucked![]()
100 misplaced passes
200 sneezing![]()
Perfect replacement for ALVARO MORATA![]()
That was real BOOOM!!!!especially 4:0 maana ndio wenye kelele huku. hao wengine kelele zao zinaishia ndani ya Jiji tuOther fans: "It's just Newcastle, Bournemouth, so stop celebrating Solskjaer"
Boom!!!
Newcastle 2-1 Man City
Bournemouth 4-0 Chelsea
![]()