Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tumemshuhudia mara ngapi Lukaku akipoteza nafasi za wazi wazi ktk game mbalimbali hiyo assurance unapata wapi mkuu.

kwa game ya leo sina lawama kwa kocha wala mchezaji yeyote...kama kuongoza kila kitu tumeongoza sisi isipokuwa magoli ubora wa kipa wa Burnley ndio uliyotunyima ushindi

Mata, Rashford, Lukaku na Pogba hawa wote walinyimwa magoli na kipa wa upinzani

GGMU
Of course kipa wa Burnley anapaswa kupewa pongezi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijasema Lukaku huwa hapotezi nafasi za magoli, huwa anakosa. CR 7, Messi wenyewe sometime huwa wanakosa magoli. Swali ni kwamba je kama striker unatumia nafasi za magoli nyingi kadiri inavyowezekana?

Lukaku ameonesha uwezo wa kufunga magoli akiwa timu ya Taifa, akiwa Everton, akiwa Westbrom na akiwa United. Lukaku amekuwa akitoa assist nyingi tu (kiufupi si selfish player)

Rash sio clinical finisher. Strength kubwa ya Rash ni kasi (msingi mbio). Ana uwezo wa kufunga lakini usitegemee Rashford akupe 20+ goals a season. Kama unataka uchukue premier usimtegemee Rash as a number one striker. Rash ni mbinafsi kiaina. Unaweza kumtegemea Lukaku.

Hapo nimeongelea overall ability ya hao wawili.

Ukiangalia mechi ya jana pia Lukaku amejihusisha kwenye matukio muhimu na amesumbua defense line ya Burnley zaidi. Unaweza kumponda kwamba ni mzito, unaweza mponda kwamba hana kasi ya Rash lakini jambo moja la uhakika, Lukaku aliwa - bully Burnley defenders zaidi. Na uwepo wake mpaka dakika 90 ungeweza kuwa na tija kuliko uwepo wa Rash.

Hapo chini ni observation ya OGS kuhusu uwezo wa Lukaku kufunga magoli katika mazoeziView attachment 1008407

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Screenshot_2019-01-30-08-53-51.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu inaonesha uhalisia wake ilivyo. Tayari bindi keshaingia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo Man United ya 2018/19 tunayoifahamu
Wasaga sumu naona mmepata cha kuongea,tungefungwa sijui mngefanya sherehe na cake juu?

Kweli MUFC ya Ole ni tishio,suluhu watu mnaongea kama tumefungwa😀😀😀

Bora jana tumefungwa,maana mngeweza kufa nyie,toeni hizo sumu maana jana tumefungwa mbili bila na Burnley.asaga
 
Mkuu mbona una panic, huu ni ushabiki tu. Ila imeniuma maana tulishakodi turubai na watu wa kusaidia kulia msibani.

Anyway hakijaharibika kitu, ngoja tuwatume vijana watusaidie kuvuhamishia pale jirani.
 
Manchester United Stats against Burnley:

Ball Possession 74%
Total shots 28
Shots on target 9
Shots off target 11
Blocked shots 8
Corners kicks 11
Big chances 2
Big chances missed 1
Counter attacks 2
Shots inside box 15
Shots outside box 13
Goalkeeper saves 2
Passes 647
Accurate passes 567 (88%)
Long balls 42/62 (68%)
Crosses 6/35 (17%)
Dribbles 6/9 (67%)
Dispossessed 10
Duels won 38
Aerials won 19
Tackles 2/8 (40%)
Interceptions 9
Clearance 16
 
Nadhan rotation haiepukiki mkuu maana midfield zetu kiukwel kama zitacheza kila game izo ata game nyepes baas game kubwa itakuja kuwa shida sana maana hatuna squad depth tuombe injuries ziwe mbaali na key players wetu tu otherwise rotation ni muhim

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna game nyepesi kwani gemu ziko ngap zimebakia mkuu, umewahi kumuona Bernardo Silva akikaa bench ama umewah kumuona kante akikaa bench
 
Wasaga sumu naona mmepata cha kuongea,tungefungwa sijui mngefanya sherehe na cake juu?

Kweli MUFC ya Ole ni tishio,suluhu watu mnaongea kama tumefungwa😀😀😀

Bora jana tumefungwa,maana mngeweza kufa nyie,toeni hizo sumu maana jana tumefungwa mbili bila na Burnley.asaga
Wasaga sumu hao wapotezee tu,kuna muda watajidai wanabusara lakini hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna game nyepesi kwani gemu ziko ngap zimebakia mkuu, umewahi kumuona Bernardo Silva akikaa bench ama umewah kumuona kante akikaa bench
Ishu ni kwamba mkuu bado tuna mashindano mengi FA,UCL na ndoto za kumaliza top four same time hatuna squad depth mbele tuna fixtures ngumu kama akutakuwa na rotation baasi wachezaji hawawez kumudu na kuwa na consistency mkuu ni mawazo yangu tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ni kwamba mkuu bado tuna mashindano mengi FA,UCL na ndoto za kumaliza top four same time hatuna squad depth mbele tuna fixtures ngumu kama akutakuwa na rotation baasi wachezaji hawawez kumudu na kuwa na consistency mkuu ni mawazo yangu tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafaham February kuna fixture ngumu lkn ukweli utabakia ukweli kila match kwetu ni ngumu na zimebakia chache sabb tylishapoteza nyingi na ujue mkuu focus ni top4 hasa kutopoteza match hata moja ya EPL.
 
Naimani nyuma ya pazia Ed na board wanahangaika sana kupata director of football pia naamini wanahangaika kukusanya taarifa za scouts kuhusu wachezaji wanaoweza kutufaa kuelekea msimu ujao...... Natamani team ingetumia walau paund mil 400 hiv kupata wachezaji 5 tu watuongezee nguvu.... Beki ya kati de light au Koulibally ni sawa... beki no 2 tupate mchezaji mwenye 27/28 ili dalot akue vizuri..... Kiungo mkabaji natamani sana tusajili Ndombele au Neves ingawa ndombele ni bei chee sana kuliko Ruben Neves namba 7 inabidi tutafute kibelenge anaejua kudeal na beki vizuri....na namba 10 inabidi tusajili mtu atakae connect vizuri zaidi team yani namba 10 asaidiane na pogba....kama tukisajili hizi sehem 5 usajili sahizi basi naimani tutawania ubingwa next season

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naimani nyuma ya pazia Ed na board wanahangaika sana kupata director of football pia naamini wanahangaika kukusanya taarifa za scouts kuhusu wachezaji wanaoweza kutufaa kuelekea msimu ujao...... Natamani team ingetumia walau paund mil 400 hiv kupata wachezaji 5 tu watuongezee mguvu.... Beki ya kati de light au Koulibally ni sawa... beki no 2 tupate mchezaji mwenye 27/28 ili dalot akue vizuri..... Lounging mkabaji natamani sana tusajili Ndombele au Neves ingawa ndombele ni bei chee sana kuliko Ruben Neves namba 7 inabidi tutafute kibelenge anaejua kudeal na beki vizuri....na namba 10 inabidi tusajili mtu atakae connect vizuri zaidi team yani namba 10 asaidiane na pogba....kama tukisajili hizi sehem 5 usajili sahizi basi naimani tutawania ubingwa next season

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninatamani dyaballa aje ingawa ni ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafaham February kuna fixture ngumu lkn ukweli utabakia ukweli kila match kwetu ni ngumu na zimebakia chache sabb tylishapoteza nyingi na ujue mkuu focus ni top4 hasa kutopoteza match hata moja ya EPL.
Hilo lipo wazi mkuu lakn itategemea na priority za Ole ni tufocus kwenye top four only then hayo mashindano mengine lolote litakalo tokea sawa tu ila naamini tunaweza kupigania ata kombe 1 msimu huu tukalipata na top four tutamaliza Kwa sabb ata ukiangalia matokeo yetu ya jana hayajaathiriwa na rotation kwa kiasi kikubwa team ilicheza vizuri sana ni mapungufu madogo madogo ata shape yetu jana ya kiuchezaji ilibadilika kiasi flani ukilinganisha na game zilizopita jana tulikosa bahat tu muhimu ni kila mechi tukicheza kwa spirit kama ile pamoja wachezaji wakiwa vizuri everything is possible no matter tunacheza na nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom