Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asee kuliko niipende Man United ni bora nisiwe mshabiki kabisa wa clab yeyote ile ya mpira. Mimi ni Chelsea fan na nitabaki kuwa Chelsea forever.

Kuja hapa sio kwamba napenda hichi kikundi kinachojiita Man united, napitaga majukwaa yote ya soka ili kuleta changamoto tu kama mdau wa mpira.

Enewei hongereni naona munajitahidi kufuta aibu ya Mourihno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafuta aibu ya Mourinho tukiwa tunakaribia kukutoa top four

Na nyie muda si mrefu mtakuwa kwenye mkakati wa kufuta aibu ya Sari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Mkuu

Japo mwishoni kau-Mourinho kalitumika kidogo alipotoka dogo Lingard akaingia Jones

Sent using Jamii Forums mobile app
Reason ya ile sub haikuwa jones kwenda kuzuia, ilikua ni kumlinda lingard, mana kumbuka alikua na kadi, halafu akatoka kukwaruzana nusura kupigana kwenye vurungati la rashford..mana pale kama sio busara za refa alifaa kulimwa kadi ya pili ale nyekundu atolewe nje..kwaio kuendelea kuwepo uwanjani angemkwatua mtu kdg tu angezawadiwa umeme. Kwaio Ole akafikiri ni vyema amtoe tu.

Sababu ya kumlinda Lingard ina make sense tu kwenye, kwanini alitolewa Lingard na sio mchezaji mwingine

Lakini sababu ya ku focus kulinda kuliko kushambulia bado ipo pale pale, na hiyo inajitokeza kwenye kwanini alimuingiza Jones na si Mata au Fred n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani wewe..jamaa ana poor marking sana

Magoli mengi tuliyofungwa build up zinaanzia upande wake..bora hata Fosu Mensah arudi acheze hiyo nafasi kuliko Young..

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mtasema yote ila bado nitasimama na young daima... Jamaa anajituma sana, ukiachana na makosa ya uwanjan kila mmoja anazingua kwa upande wake... Kuna tackles kafanya nyingi jana... Ana spirit sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mkuu sijui wanamzungumzia Young gani..Young anasumbuliwa hadi na Iwobi jana!!!..

Kama tunataka kwenda mbele inabidi tuwe na namba mbili kitasa na mwenye skills going foward..ila tukiendelea kumningania Young kama first choise tutakuwa tunapotea..
Yan hawa jamaa wanao mpigie chapuo young sijui sijui wanamuongelea young gani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan hawa jamaa wanao mpigie chapuo young sijui sijui wanamuongelea young gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu seriously kabisa mnasema bora Fosu Mensah, mchezaji aliyekosa namba timu inayoshuka daraja

Young bado ana uwezo kuliko options tulizonazo kama hao akina Tuanzebe na TFM

Mechi kubwa Young huwa anatuokoa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom