Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu seriously kabisa mnasema bora Fosu Mensah, mchezaji aliyekosa namba timu inayoshuka daraja

Young bado ana uwezo kuliko options tulizonazo kama hao akina Tuanzebe na TFM

Mechi kubwa Young huwa anatuokoa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu kwa upande wangu sijasema bora TFM, ila ninachokataa ni kusema young bado ni mzuri, hili ndio nalikataa.

Hoja yangu ni kwamba tutafute fullback(s), Wa maana(ingependeza zaidi akipatikana ambae ataruhusu development ya dalot),kuliko kuendelea kumtegemea young kama 1st choice, napenda awepo kama squad player.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young anasaidia sana timu swala la kurudi nyuma akiwa na fowadi hyo ni mbinu ya kumchelewesha fowadi nn cha kufanya na kuwapa muda mabeki wenzake warudi na kumark possition kwa usahihi maana kuwafata kichwa kichwa mawinga wajanja unaweza pitwa halafu nyuma mabeki hamna au hawajipanga vizur mbona hata Rio alikuwa akifanya hvyo ,Young vile vle krosi zake za uhakika na tackle za akili ila ndio hivyo masikini chumvi hana sifa mchuzini
 
"Tunapoyatizama mafanikio ya haraka ya man united na mkufunzi wake wa muda OGS watu wanasahau au kutokujua nyuma yake kuna nani? Mike phelan na mark demsey wazee hawa walio wahi kuwa na yule mkufunzi jemedari sir Alex ferguson kwa vipindi tofauti wana chachu na kujua wafanye nini! wazee hao wanaojua falsafa ya kucheza ki united united wanaifanya kazi ya OG kuwa nyepesi mwisho wa kunukuu magazeti ya hapa ujerumani "Umy lkeir DW.
 
Hapana mkuu kwa upande wangu sijasema bora TFM, ila ninachokataa ni kusema young bado ni mzuri, hili ndio nalikataa.

Hoja yangu ni kwamba tutafute fullback(s), Wa maana(ingependeza zaidi akipatikana ambae ataruhusu development ya dalot),kuliko kuendelea kumtegemea young kama 1st choice, napenda awepo kama squad player.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hilo nakubaliana na wewe

Lakini kwa sasa anatusaidia, na ukweli ni kwamba ni ngumu United kununua beki wa pembeni kwani kwa sasa kipaumbele ni beki wa kati (kwenye nafasi za nyuma)

Kama club ingekuwa tayari (kibajeti) kufanya mabadiliko makubwa naunga mkono hoja kwamba bado tunahitaji kununua fullbacks 2, beki mmoja wa kati, midfielder 1 na winger 1 (especially left footed)

Lakini mkuu ninavyomjua Ed, akinunua beki wa pembeni hapo bajeti ya beki ndio inakuwa haipo tena, wakati tunahitaji beki wa kati kuliko wa pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young kweli upande wake kuna muda anateseka sana.. ila sio F.menshah kuziba pale, bora Dallot.
Sijawahi kuona Young anateseka, ile stail yake ya kurudi kinyume nyume anapokuwa face t face na forward ni akili kubwa sana ya kuchelewesha mashambulizi, na nakuhakikishia huyo forward hatapita hapo (hatapiga krosi) atacheleweshwa mwisho ataishia kurudisha mpira nyuma wakaanze upya mashambulizi. Unapoiangalia Man U muangalie sana Young utamwelewa. Na yuko precise sana na krosi zake kama beki hajakaa vizuri anaweza kuvunjika mbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young anasaidia sana timu swala la kurudi nyuma akiwa na fowadi hyo ni mbinu ya kumchelewesha fowadi nn cha kufanya na kuwapa muda mabeki wenzake warudi na kumark possition kwa usahihi maana kuwafata kichwa kichwa mawinga wajanja unaweza pitwa halafu nyuma mabeki hamna au hawajipanga vizur mbona hata Rio alikuwa akifanya hvyo ,Young vile vle krosi zake za uhakika na tackle za akili ila ndio hivyo masikini chumvi hana sifa mchuzini

Kwahiyo ww unaamini kbs unapomwacha mtu akaribie goli ndio unakuwa umemkaba vzr?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona Young anateseka, ile stail yake ya kurudi kinyume nyume anapokuwa face t face na forward ni akili kubwa sana ya kuchelewesha mashambulizi, na nakuhakikishia huyo forward hatapita hapo (hatapiga krosi) atacheleweshwa mwisho ataishia kurudisha mpira nyuma wakaanze upya mashambulizi. Unapoiangalia Man U muangalie sana Young utamwelewa. Na yuko precise sana na krosi zake kama beki hajakaa vizuri anaweza kuvunjika mbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Krosi, faulo na kona young hana mchawi hapo kaka... ila anapokutana na winga inayojua kazi vzr utamkataa.. achana na IWOBI nywele zinazidi kichwa,
Yote kwa yote tupate mbadala wake.
 
Sijawahi kuona Young anateseka, ile stail yake ya kurudi kinyume nyume anapokuwa face t face na forward ni akili kubwa sana ya kuchelewesha mashambulizi, na nakuhakikishia huyo forward hatapita hapo (hatapiga krosi) atacheleweshwa mwisho ataishia kurudisha mpira nyuma wakaanze upya mashambulizi. Unapoiangalia Man U muangalie sana Young utamwelewa. Na yuko precise sana na krosi zake kama beki hajakaa vizuri anaweza kuvunjika mbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo style nakumbuka Phil Neville alikuwa anaboa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom