Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Morinho is exposed.

Bado namtafakari huyu jamaa nakosa jibu.

Hata kama Man Utd ina mapungufu ila sio kwa kiwango ambacho Mou ametuaminisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inahitaji marekebisho kidogo sana upande wa ushambulizi tunafanya poa maana mwanzo hata ushambulizi ulikuwa hovyo tupate bek mmoja na namba 2 au hata 6 maana siku akiumia herrera tutaimba hapa
 
Timu inahitaji marekebisho kidogo sana upande wa ushambulizi tunafanya poa maana mwanzo hata ushambulizi ulikuwa hovyo tupate bek mmoja na namba 2 au hata 6 maana siku akiumia herrera tutaimba hapa
Young ameshachoka,tunaitaji no mbili mkali huku Dalot akiendelea kuimprove sababu ndo kwanza yupo 19th..

No sita pia ni muhimu sana maana Matic au herrera akiumia mmoja wao itakuwa shida..nilikuwa namtamani sana yule de jong wa ajax aliyeenda Barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young ameshachoka,tunaitaji no mbili mkali huku Dalot akiendelea kuimprove sababu ndo kwanza yupo 19th..

No sita pia ni muhimu sana maana Matic au herrera akiumia itakuwa shida..nilikuwa namtamani sana yule de jong wa ajax

Sent using Jamii Forums mobile app
De jong bado mkuu tunahitaji mtu mzoefu maana tuna vijana wadogo wengi sasa tukiendelea kuchukua madogo baadae tutakwama dalot anatakiwa aendelee kujifunza ila wakina tuanzebe na fosuh mensah wanarud june
 
21 sasa hivi na barcelona wamemsajili kuwa kama replacement ya bosquest..mimi naona angetufaa tu..

Kwenye hiyo nafasi wewe ungemtaka nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa fikiria mbappe ndio anakabwa na young
Tatzo ni kwamba mnataka defance isio ruhusu goli hata moja kwa msimu mzima kitu ambacho hakijawahi kutokea toka dunia iumbwe, sio kwamba tuna tatzo kuubwa la defance kiasi cha kila mtu kulalamika kama vile ndo timu inayoongoza kwa kuruhusu magoli mengi toka OGS akabidhiwe timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom