Bado nawaza Mou alikuwa anapata wapi ujasiri wa kumuweka Herrera nje sielewi.Fred akaze sana herrera kaifanya timu kuwa nzur katikati matic na pogba wamekuwa vizur sana hadi muda huu herrera ni key player wa hii timu.
Mkuu, hii habari ya Young achana nayo kabisa, huu ndio mzizi pale united. Siku akiachwa nje ndio utajua umuhimu wake. Tackle zake ni za kiutu uzima sana. Huyu anatakiwa azeekee hapa kama kina Pirlo walicheza mpaka over 40. Young ana akili kubwa sana ya kuzuia mashambulizi, utaona wakati ule aliudaka mpira akapigwa yellow. Anajua ule mpira ungempita nini kingetokea.Young ameshachoka,tunaitaji no mbili mkali huku Dalot akiendelea kuimprove sababu ndo kwanza yupo 19th..
No sita pia ni muhimu sana maana Matic au herrera akiumia mmoja wao itakuwa shida..nilikuwa namtamani sana yule de jong wa ajax aliyeenda Barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 KabisaMaiti ya kiswahili haikosi sababu ndugu yangu utasikia amerogwa na bibi flan
Nikionaga maandishi yako huwa namkubuka yule aliyepigilia msumari wa watatu against asernal,sijui kwanini hahahahaMkuu, hii habari ya Young achana nayo kabisa, huu ndio mzizi pale united. Siku akiachwa nje ndio utajua umuhimu wake. Tackle zake ni za kiutu uzima sana. Huyu anatakiwa azeekee hapa kama kina Pirlo walicheza mpaka over 40. Young ana akili kubwa sana ya kuzuia mashambulizi, utaona wakati ule aliudaka mpira akapigwa yellow. Anajua ule mpira ungempita nini kingetokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hii habari ya Young achana nayo kabisa, huu ndio mzizi pale united. Siku akiachwa nje ndio utajua umuhimu wake. Tackle zake ni za kiutu uzima sana. Huyu anatakiwa azeekee hapa kama kina Pirlo walicheza mpaka over 40. Young ana akili kubwa sana ya kuzuia mashambulizi, utaona wakati ule aliudaka mpira akapigwa yellow. Anajua ule mpira ungempita nini kingetokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimekuelewa sana ila nasema lindelof atafutiwe mtu wake sahihi anapiga hadi chenga anapanda anapiga mipira mirefuTatzo ni kwamba mnataka defance isio ruhusu goli hata moja kwa msimu mzima kitu ambacho hakijawahi kutokea toka dunia iumbwe, sio kwamba tuna tatzo kuubwa la defance kiasi cha kila mtu kulalamika kama vile ndo timu inayoongoza kwa kuruhusu magoli mengi toka OGS akabidhiwe timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta maneno yako young bado sana kuwepo hapo amsha amsha na uhamasishaji ulotukuka bado aendelee kutoa huduma yake hapo.Mkuu, hii habari ya Young achana nayo kabisa, huu ndio mzizi pale united. Siku akiachwa nje ndio utajua umuhimu wake. Tackle zake ni za kiutu uzima sana. Huyu anatakiwa azeekee hapa kama kina Pirlo walicheza mpaka over 40. Young ana akili kubwa sana ya kuzuia mashambulizi, utaona wakati ule aliudaka mpira akapigwa yellow. Anajua ule mpira ungempita nini kingetokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lindelof ni MTU sana, anjua sana soka.Hapa nimekuelewa sana ila nasema lindelof atafutiwe mtu wake sahihi anapiga hadi chenga anapanda anapiga mipira mirefu
Mwambieni huyo anampuuza Ashley Young anamkosea heshima mchezaji mwanadamizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaaeee ule motooooo,,, pale ukumbini tulipiga yoweeeeee hahahahNiliangalia ile mechi jana kipind arsenal wanatafuta goli kusawazsha na wakamuingza Ozil na Matheo,
Nkajikuta tu akil za ki mourinho zinnijia sasa na sie tuingze beki
Kuja kuchek kumbe zama za OGS, Mwendo wa toa kitu weka kitu....
Keshafanya mara kibao kitendo kile
Hongereni Man U
Acha utani wewe..jamaa ana poor marking sanaMkuu, hii habari ya Young achana nayo kabisa, huu ndio mzizi pale united. Siku akiachwa nje ndio utajua umuhimu wake. Tackle zake ni za kiutu uzima sana. Huyu anatakiwa azeekee hapa kama kina Pirlo walicheza mpaka over 40. Young ana akili kubwa sana ya kuzuia mashambulizi, utaona wakati ule aliudaka mpira akapigwa yellow. Anajua ule mpira ungempita nini kingetokea.
Sent using Jamii Forums mobile app