Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Krosi, faulo na kona young hana mchawi hapo kaka... ila anapokutana na winga inayojua kazi vzr utamkataa.. achana na IWOBI nywele zinazidi kichwa,
Yote kwa yote tupate mbadala wake.
mfano nani labda?? Hazard, Salah, Sterling au Willian ama yupi??

huwezi kutaja right backs watano wa epl ukamuacha Young.

kuna baadhi ya mashabiki hawampendi Young either afanye zuri au baya huo ndo ukweli.
 
Kwahiyo ww unaamini kbs unapomwacha mtu akaribie goli ndio unakuwa umemkaba vzr?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sana

Lengo la kukaba huku unarudi nyuma ni kutafuta timing ya kuchafua mpira unaokokotwa na mpinzani

Kwa style hiyo hiyo mwaka jana Young alimdhibiti Salah na watu tulimsifia kweli kwamba Salah amewekwa mfukoni

Embu kuanzia leo, angalia mabeki wote mahiri unaowajua ulimwenguni kama huwa wanakaba bila TIMING ...... Chunguza kama mchezaji wa timu pinzani anavyo drible mpira huwa beki harudi nyuma kufanya timing ya kukaba

Nawashangaa sana wanaomdhihaki young, hata style yake ya kukaba ni bora kabisa. Na uzuri wake ni kwamba ni kiraka anayeweza kucheza right au left back na akaperform vizuri pande zote. Tumpe young sifa zake, tusitake kila position iwe na world class player, hakuna timu ya hivyo. Watakuwepo world class na wa kawaida. Naamini hata young ni mchezaji mzuri sana anayeitendea haki namba yake akiwa uwanjani.
 
Kwa kukazia tena young huwa kwa style yake huwa mara nyingi hufanikiwa kuficha hadi mianya ya kutoa pasi za mwisho kwa mafowadi hadi muda mwngne wanaanza upya mashambuliz enzi zile Garry nevile, Oshea hata Rio walikuwa hawaipatii ipasavyo km young walikuwa wakifanya hivyo rahisi kugeuzwa na washambuliaji wajanja wenye spidi hatimaye kila kila mara maumivu lkn young ameithibiti hyo style ipasavyo. Hivi fikirieni umfuate kichwa kichwa mtu km mbappe akikugeuza fasta tayar goli ameshaliona kwa mispidi yke hvyo mbinu pekee ni km ya young kuwafanya wasicheze kama walivyozoea
Ova.
 
Watu sijui wanataka united icheze bila kushambuliwa au kufungwa magoli.....kwa wakati huu tuliopo tunahitaji zaid ushindi kuliko cleansheet ....dalot..linderlof ..bailly na shaw wakitengenezwa vzr na timu ikicheza vizur watatufaa sana.shida ni jose alikua akiharibu wachezaje na matokea yake tunakariri kwamba hatuna wachezaj wazuri na tunatakiwa kufanya usajili...hawa waliopo wakiandaliwa vzr wanaleta matokeo mazur mbona
 
Tunatakiwa kuongeza watu aisee kiufupi hatuna kikosi kipana cha ushindan wa muda mrefu hata ikitokea majeruh saiv aumie herera au rashford au lindelof tayar utata unaanza kwakwel kwa ukubwa wa timu yetu inatakiwa hata pogba akiumia una kua na mtu wa uhakika wa kureplace .. kuanzia nyuma kuna haja ya kuongeza vitasa wa uhakika ili tuwe na depth ya kikosi kama man city anaumia let say aguero unakuta wana gabriel jesus nae wa moto
 
Mkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sana

Lengo la kukaba huku unarudi nyuma ni kutafuta timing ya kuchafua mpira unaokokotwa na mpinzani

Kwa style hiyo hiyo mwaka jana Young alimdhibiti Salah na watu tulimsifia kweli kwamba Salah amewekwa mfukoni

Embu kuanzia leo, angalia mabeki wote mahiri unaowajua ulimwenguni kama huwa wanakaba bila TIMING ...... Chunguza kama mchezaji wa timu pinzani anavyo drible mpira huwa beki harudi nyuma kufanya timing ya kukaba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile gemu ya naikumbuka vizuri wote humu walimsifu young

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana wanaomdhihaki young, hata style yake ya kukaba ni bora kabisa. Na uzuri wake ni kwamba ni kiraka anayeweza kucheza right au left back na akaperform vizuri pande zote. Tumpe young sifa zake, tusitake kila position iwe na world class player, hakuna timu ya hivyo. Watakuwepo world class na wa kawaida. Naamini hata young ni mchezaji mzuri sana anayeitendea haki namba yake akiwa uwanjani.
Kwa ile style pia unamchelewesha mpinzani kuleta madhara kwako

Pia inawapa wenzako nafasi/muda wa kurudi kusaidia kuzuia mashambulizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom