Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa ntapingana na wewe ukiangalia uchezaj na mbinu ni vitu viwili tofaut angalia utulivu wa viungo na mnyumbuliko wa pogba
 
Tujifunze kumpa mtu credit anapostahili. Hata Kama hana Mbinu za uwanjani, lakini ana Mbinu za ku-win mioyo ya wachezaji kiasi kwamba wanajitoa kwa ajili yake na timu. Hiyo ndiyo mbinu kubwa na ya kwanza kabla hujaingia kwenye tactical sphere.
Mourinho alishindwa hapa na kuna msemo unasema, if you fail to plan, you plan to fail . Hope umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mjinga mmoja alikuwa Akimtetea Kwa Kila kitu Yule Mmakonde wa Msumbiji aliyepata bahati ya kuishi Ureno utadhani ni mume wa Dadaake..

Lakini Tokea atimuliwe Mmakonde basi Kaukimbia Uzi. 😀😀
Mkuu punguza ukali wa maneno, just ilikua kutofautiana tu kimtazamo, na mwenywe kwa sasa anakari mou katurejesha nyuma, na kwa sasa anafurahia matekeo ya timu yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Smart guy
 
kwa mtazamo wako labda kocha ni nani sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…