Sanchez amecheza mechi ngapi chini ya Solskjaer mpaka useme hivyo mkuu?Sanchez akicheza timu itakaa nyuma sana .ila wakianza wale watoto pale mbele basi timu itakua inakua mbele muda mwingi na vyanzo vingi vinaonesha wataanza kwaio sioni sehemu spurs akitoka leo
Naunga mkono.
We ulitaka kikosi kipi ndio ujue tunashinda?Kwa hiki kikosi ushindi wenu ni Draw
Tusubiri dakika tisini za mchezo
Jones ndio ananipa mashaka pale kwny defence
Huu ni ukweli, hii mechi chini ya Morinyo uhakika wa ushindi ulikuwa mkubwa.
Leo tukishinda watasema bado hata José angeshinda pia.
Huu ni ukweli, hii mechi chini ya Morinyo uhakika wa ushindi ulikuwa mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app