Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Walipanga mapema March but wamegaili pia wameogopa kuzindua siku ya game na arsenal,
Now wanatarajia kuzindua siku ya game na Palace on 14 March if hawata change gia Tena.

Uyo aliesema wanazindua kesho kwenye game na Red Devil's Ni kuwashwa washwa tu kunamsumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achaga kuandika kama mwanamke aliyetoka ku bleed mkuu.

Ungepaswa kuwa mpole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GGMU..Today is Matchday

Lineup yangu ningeipanga kama hivi

De Gea
Valencia Lindelof Jones Shaw
Herrera Matic Pogba
Lukaku Rashford Martial

Ningeanza na lukaku na ningempanga atokee pembeni kulia..jamaa naonaga akitokeaga upande huu kidogo anakuwa na hatari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa valencia weka Young

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaga kuandika kama mwanamke aliyetoka ku bleed mkuu.

Ungepaswa kuwa mpole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwanamke alietoka ku bleed anashida gani?

Si ndio alivoumbwa biological mkuu?au shule ziro kichwani boss?

Hujui wanawake wote including your mom wamepitia hiyo stage? RESPECT womens hata kama upo empty head usijivue nguo kisa ushabiki vitumbua.

Niwe mpole wanini sasa?si nime correct ulichosema kuwa ni uongo na nikaweka usahihi wake.

Kuwa Spurs hawajawahi kusema popote watazindua uwanja against Man Utd bali ilikua iwe against Arsenal na wakaogopa kutokana na ugumu wa mechi.

Now wanategemea kuzindua against Crystal Palace on 14 March kama hawatabadilisha tena.

Sasa Kuna tatizo hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred ni mchezaji wa kawaida sana mkuu nafkiri kwa sababu yupo kwenye timu kubwa km manchester united ndio maana tunategemea makubwa toka kwake
Sijawahi kuuelewa mpira anaocheza Fred tangu ajiunge na Man U, tangu mechi za Preseason nilikuwa namfatilia lakini naona sio mkabaji mzuri kabisa, anapiga pasi mbovu, anapoteza mipira sana.Naona hata mkubwa Fella anacheza vizuri zaidi yake, sijajua kwanini Mourinho alimsajili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GGMU
Leo tunashinda..watu hawataamini goli tutakazofunga..Amen!

Ugiligili
 
Fred ni mchezaji wa kawaida sana mkuu nafkiri kwa sababu yupo kwenye timu kubwa km manchester united ndio maana tunategemea makubwa toka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sababu inayofanya awe anaitwa National team

Kuna sababu iliyofanya Pep atake kumsajili January 2018 kisha ikashindikana

Kuna sababu iliyoifanya United imsajili kwa almost £52 million

Bado tunasubiri kuiona hiyo sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi pepe alishatamka kumtaka Fred? Huo ni uhuni wa maajent kuongeza value ya mchezaji sokoni ili wapige kibunda kirefu

Kaka tuache ushabiki fred is overeted

Mimi ningekuwa kocha i would prefer to play felain instead of fred and the reason is fred anapokonywa sana mipira, anapiga pasi mfu, hana tecnical nzuri za kukaba he fits a lot to play at normal club like westham and not united

Fred ni mchezaji mzuri tofauti na mnavyomuongelea. Ni kweli bado hajaweza kutulia kikosini, lakini it's too early to say he's overrated.

Nadhani kwasasa kwenye kikosi cha Man U, ukiambiwa upange, piga ua katika defence lazima uanze na De Gea, lakini mtu wa pili najua atakuwa Lindelof. Kuna anayekumbuka jinsi Lindelof alivyokuwa msimu uliopita? Anatoa pasi fupi na zisizofika kwa kipa? Alichoma mara ngapi ile mechi na Brighton Have? Mechi na Huddersfield.

All am saying, Mpeni Fred muda kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom