Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sijamaanisha hivyo eti timu iingie uwanjani na mentality ya kukaba tu ila kwa ubora wa Spurs na ubora wa Trippier mimi nimeona Sanchez kwa kesho anafaa sana
Mechi ya Spurs hautaki mzuka wa attack attack. Inahitaji team work. Martial shida yake kubwa ni mlaini ila akikaza, yupo powa sana. Sanches ana juhudi uwanjani lakini bado ameshindwa ku-adapt OT. Km tunaanza na Lingard, hatuna haja ya Sanches kuanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkumbuke kwamba Spurs anazindua uwanja wake ..so gemu hitakuwa rahisi kama mnavyodhani. Maana wengi apa mumejiaminisha na kiungo yenu Matic, PP na Herrera ..hao wote wanaeza kupotezwa tu. Toti hawezi kubali zindua uwanja kwa kipigo.

Jipangeni.
IMG-20190110-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Spurs hautaki mzuka wa attack attack. Inahitaji team work. Martial shida yake kubwa ni mlaini ila akikaza, yupo powa sana. Sanches ana juhudi uwanjani lakini bado ameshindwa ku-adapt OT. Km tunaanza na Lingard, hatuna haja ya Sanches kuanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sanchez bado hajapata muda, ukiangalia game ya Newcastle aliingia dakika za mwisho game ya Reading timu nzima ilicheza hovyo alipata injury akatoka....mimi sijamkatia tamaa bado

kuhusu Lingard huyu ni lazima aanze na asitoke dogo ana mapafu ya Park Ji Sung huwa hachoki hana maajabu sanaaaa akiwa na mpira ila zile runs zake ndo zinaimpacts
 
Man u sisi hovyo sana, bila kumrudisha moyes na kumpa muda w kutosha hatutasonga mahala.

#bring_back_moyes


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chelsea na arsenal watakuwa upande wetu kwa muda hiyo kesho.
Come on reds!
GGMU.
 
*BREAKING NEWS: Manchester united have Rejected £95m Real Madrid Bid for Fellaini *

Manchester united have rejected a bid of £95 million (€106m/$120m) from Real Madrid for midfielder Marouane Fellaini to replace isco who want to leave in this January transfer according to sky sports journalist Martin Tyler.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom