severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Wakuu mechi Leo sikuiangalia,vipi kiwango? Nilikuwa nafatilia live score. Nilikuwa naitathimini pia hiyo love score nikaona kama tumecheza hovyo sana mana muda karibia wote madogo walituzidi umiliki,mashuti golini kwetu n.k
