Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

*BREAKING NEWS: Manchester united have Rejected £95m Real Madrid Bid for Fellaini *

Manchester united have rejected a bid of £95 million (€106m/$120m) from Real Madrid for midfielder Marouane Fellaini to replace isco who want to leave in this January transfer according to sky sports journalist Martin Tyler.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sana.

Mpango wa awali ilikuwa wazindue uwanja wao mwaka unapoanza, lakini baadae mpango haukwenda kama ulivyokusudiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Walipanga mapema March but wamegaili pia wameogopa kuzindua siku ya game na arsenal,
Now wanatarajia kuzindua siku ya game na Palace on 14 March if hawata change gia Tena.

Uyo aliesema wanazindua kesho kwenye game na Red Devil's Ni kuwashwa washwa tu kunamsumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa attack attack attack (Blindly)
Screenshot_2019-01-12-17-05-18.jpg
Screenshot_2019-01-12-17-05-36.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho tushinde 4:0 kwakuwa clean sheets zinatusumbua basi tushinde 5:1, ilimradi tuwe huu ya Arsenal kwenye msimamo wa ligi.
 
Kesho tushinde 4:0 kwakuwa clean sheets zinatusumbua basi tushinde 5:1, ilimradi tuwe huu ya Arsenal kwenye msimamo wa ligi.
Future impossible tense Mkuu hiyo, lakini wote tunaomba tushinde

Arsenal ni wetu tu, asiposhuka kesho atashuka hivi karibuni

United inabidi tumuwaze kumshusha Chelsea na sio Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom