Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Shukran mkuu, ni mda mzuri ntakua nishatulia home in shaa Allah kutoka kweny harakati zangu za kutafuta mkate
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu, ni mda mzuri ntakua nishatulia home in shaa Allah kutoka kweny harakati zangu za kutafuta mkate
composition yake kwenye game anazocheza kiukweli sifurahii kabisa mchezo wakeFred ni mchezaji mzuri tofauti na mnavyomuongelea. Ni kweli bado hajaweza kutulia kikosini, lakini it's too early to say he's overrated.
Nadhani kwasasa kwenye kikosi cha Man U, ukiambiwa upange, piga ua katika defence lazima uanze na De Gea, lakini mtu wa pili najua atakuwa Lindelof. Kuna anayekumbuka jinsi Lindelof alivyokuwa msimu uliopita? Anatoa pasi fupi na zisizofika kwa kipa? Alichoma mara ngapi ile mechi na Brighton Have? Mechi na Huddersfield.
All am saying, Mpeni Fred muda kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwa asiyefatilia mpira alaf akaona jinsi media zilivyokuwa zinaongelea usajili wa Sanchez kutoka Arsenal kuja Man U. Akaangalia na mshahara na marupurupu anayopewa. Akipata nafasi ya kuona mechi zote alizocheza tokea aje, atasema he was overrated. Ila wote tunaofatilia mpira tunakijua kiwango cha Sanchez.You may be right
Lkn nakuwa na dauti sana nimejaribu kuangaliacomposition yake kwenye game anazocheza kiukweli sifurahii kabisa mchezo wake
Maybe he can change his game in the coming days ila sidhani kama atatupatia kile kilichosemwa na media
Sent using Jamii Forums mobile app
Dirisha dogo City kumtaka Fred haikuwa siri, ulikuwa ni mpango wa kutafuta mrithi wa Fernandinho ambaye anaelekea mwishoniWapi pepe alishatamka kumtaka Fred? Huo ni uhuni wa maajent kuongeza value ya mchezaji sokoni ili wapige kibunda kirefu
Kaka tuache ushabiki fred is overeted
Mimi ningekuwa kocha i would prefer to play felain instead of fred and the reason is fred anapokonywa sana mipira, anapiga pasi mfu, hana tecnical nzuri za kukaba he fits a lot to play at normal club like westham and not united
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu kati ya wachezaji ambao wanahitaji support ya mashabiki ni wale wenye viwango vilivyoshuka. muda ni rafiki anaweza kurudi kwenye hali yake pamoja na wengine ili waweze kuisaidia teamDirisha dogo City kumtaka Fred haikuwa siri, ulikuwa ni mpango wa kutafuta mrithi wa Fernandinho ambaye anaelekea mwishoni
Kuna machapisho mengi tu yaliyo report kiu ya Pep kumnunua Fred au Jorginho na hayo machapisho ndio yamekuwa source of information kwangu na kwako na kwa wengine so kubishia hayo machapisho kama ya Sky Sports, BBC, Manchester Evening News kwakuwa tu uhamisho haukufanikiwa ni kupoteza muda
Haya tuache City kumtaka, vipi kuhusu United ambao ma scouts wake almost msimu mzima walikuwa wanafuatilia maendeleo yake kwenye mechi alizocheza na mwisho wa siku wakashauri United wamnunue,je nao walipotoshwa na propaganda za agent wake?
Isitoshe mwaka jana akiwa Shaktar alicheza kwenye game ya UEFA dhidi ya City na alionesha uwezo mkubwa tu kwenye hatua ya makundi kwahiyo hakuna kwenye mashaka juu ya uwezo wake kabla hajaja United
Vipi kuhusu kocha wa National Team ya Brazil Tite, naye anapotoshwa na nani kuhusu kiwango cha Fred? Maana kabla ya Fred kuja United, Fred hajawahi kuachwa kuitwa na Tite National Team. Kumbuka hiyo timu ya Taifa ndio ina akina Fabinho wa Liverpool ambao walikuwa hawaitwi lakini Fred anaitwa.
Nakubaliana na wewe kuhusu uduni wa kiwango chake kwa sasa pale United, ni kweli anapoteza mipira sana na hana decisions nzuri na za haraka. Lakini anastahili kupewa muda.
Fred amekuja United kwa sababu, na hiyo sababu ndio inatufanya tunaendelea kuwa patient ili hiyo sababu ijidhihirishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
GGMU..Today is Matchday
Lineup yangu ningeipanga kama hivi
De Gea
Valencia Lindelof Jones Shaw
Herrera Matic Pogba
Lukaku Rashford Martial
Ningeanza na lukaku na ningempanga atokee pembeni kulia..jamaa naonaga akitokeaga upande huu kidogo anakuwa na hatari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kakaKweli Mkuu kati ya wachezaji ambao wanahitaji support ya mashabiki ni wale wenye viwango vilivyoshuka. muda ni rafiki anaweza kurudi kwenye hali yake pamoja na wengine ili waweze kuisaidia team
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure MkuuKabisa kaka
Unajua shida ni kwamba kuna watu huwa hawana patient kabisa
Watu wanataka kuona mabadiliko ya papo kwa papo, kumbe kuna wachezaji wengine wana cope taratibu na mabadiliko ya ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tot anakufa 3
Sio lazima iwe clean shit. Ushindi ni ushindi tuPiga ua Utd hakuna Ubavu wa kupata goli tatu Wembley, mmejitahidi sana 2
Na Tottenham lazima achafue Clean Sheet, so ushindi mkishinda 2-1 na nadhani Martial ndio anafunga pamoja na Mata au Pogba
Unajua kwa asiyefatilia mpira alaf akaona jinsi media zilivyokuwa zinaongelea usajili wa Sanchez kutoka Arsenal kuja Man U. Akaangalia na mshahara na marupurupu anayopewa. Akipata nafasi ya kuona mechi zote alizocheza tokea aje, atasema he was overrated. Ila wote tunaofatilia mpira tunakijua kiwango cha Sanchez.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dirisha dogo City kumtaka Fred haikuwa siri, ulikuwa ni mpango wa kutafuta mrithi wa Fernandinho ambaye anaelekea mwishoni
Kuna machapisho mengi tu yaliyo report kiu ya Pep kumnunua Fred au Jorginho na hayo machapisho ndio yamekuwa source of information kwangu na kwako na kwa wengine so kubishia hayo machapisho kama ya Sky Sports, BBC, Manchester Evening News kwakuwa tu uhamisho haukufanikiwa ni kupoteza muda
Haya tuache City kumtaka, vipi kuhusu United ambao ma scouts wake almost msimu mzima walikuwa wanafuatilia maendeleo yake kwenye mechi alizocheza na mwisho wa siku wakashauri United wamnunue,je nao walipotoshwa na propaganda za agent wake?
Isitoshe mwaka jana akiwa Shaktar alicheza kwenye game ya UEFA dhidi ya City na alionesha uwezo mkubwa tu kwenye hatua ya makundi kwahiyo hakuna kwenye mashaka juu ya uwezo wake kabla hajaja United
Vipi kuhusu kocha wa National Team ya Brazil Tite, naye anapotoshwa na nani kuhusu kiwango cha Fred? Maana kabla ya Fred kuja United, Fred hajawahi kuachwa kuitwa na Tite National Team. Kumbuka hiyo timu ya Taifa ndio ina akina Fabinho wa Liverpool ambao walikuwa hawaitwi lakini Fred anaitwa.
Nakubaliana na wewe kuhusu uduni wa kiwango chake kwa sasa pale United, ni kweli anapoteza mipira sana na hana decisions nzuri na za haraka. Lakini anastahili kupewa muda.
Fred amekuja United kwa sababu, na hiyo sababu ndio inatufanya tunaendelea kuwa patient ili hiyo sababu ijidhihirishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku hata akitokea upande wa baa hana effect yoyote. Mou alituingiza chaka, bora tungemnunua tomasi ulimwengu sio uyo kitambi mchuchumio
Leo sijui kwanini nahisi Sanchez ni wa muhimu sana.
Tofauti yake na Martial ni kwamba Sanchez ni mpambanaji na yeye ni 'mtepemtepe'
Kumbe na nyie mnaparurana kama mashabiki wa Arsenane, majogoo,Man city, Chelshit, Tots.Kabisa kaka
Unajua shida ni kwamba kuna watu huwa hawana patient kabisa
Watu wanataka kuona mabadiliko ya papo kwa papo, kumbe kuna wachezaji wengine wana cope taratibu na mabadiliko ya ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kutofautiana sio dhambiKumbe na nyie mnaparurana kama mashabiki wa Arsenane, majogoo,Man city, Chelshit, Tots.
Ushabiki kazi. Napita tuu
Sent using Jamii Forums mobile app