Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You have a point

Ila tukubaliane, tukimchapa Spurs hamtaibua hoja nyingine kum underrate OGS na United ya Msimu huu

Lakini pia, Wembley never felt at home to Spurs when they play against the big guns

Sent using Jamii Forums mobile app

Life is full of tests, hii ikiisha haikosi ya kuibuka tena, imagine watu wanaweza kumpa mkataba kocha wa miaka 3 na wakamwambia akipata kombe hata moja inatosha, msimu wa kwanza anadeliver, msimu unaofata akichemsha anawekwa kando
 
OGS nae He need to stand and Be himself. every time he speaks there is too much reference to Feggie. He is not Feggie....
 
Life is full of tests, hii ikiisha haikosi ya kuibuka tena, imagine watu wanaweza kumpa mkataba kocha wa miaka 3 na wakamwambia akipata kombe hata moja inatosha, msimu wa kwanza anadeliver, msimu unaofata akichemsha anawekwa kando
Sawa Mkuu

Lakini sometime watu wanatumia hizo hoja ku disqualify tu mpinzani wake bila kuangalia ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu: kuiita Tottenham kama mtihani wa Man Utd ni kwa sababu chache zifuatazo:-
  1. Man Utd hajifunga timu yoyote iliyo juu yake kwenye msimamo,
  2. Man Utd alifungwa na Tottenham (OT), hii game mtakuwa ugenini,
  3. Tottenham ni moja ya timu ambazo ziko vizuri offensive, na Man Utd haina defense nzuri, so kila mshabiki anasubiri kuona mnatokaje,
  4. Timu mlizozifunga ni timu ambazo Tottenham kazifunga pia, hatuoni kama hayo ni maajabu, na
  5. Pochettino as a proved EPL Top 3 best coach vs unproven interim coach.
Tots alitokaje na Chelsea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom