OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahaha na watachukua sasa.Hahahaha boss upo kama Mimi yaani bora ichhukue timu nyingine yeyote lakini sio Liverpool maana watatusema sana hasa sisi United
Vip utakunywa sumu? Au utameza wembe kwa chuki zako?
Kila timu na msimu wake..
Sent using Jamii Forums mobile app


