ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,992
Nipo, mzma ww?We mzee upo
Washatuharibia mkuu
Kabisa mkuu ila matic alizembea ule mpiraMipira ya Juu kwa Man Utd ni tatizo kubwa, ni Fellain peke yake mwenye uwezo wa kugombania mipira ya juu wengine wote hua wanaruka huku wamefumba macho
Atack atack atack atack
Mm mzima sijakuona mda sanaNipo, mzma ww?
Kwani ligi imejaa timu kubwa maneno ya wakaanga sumu mkuufantastic watasema kwamba tuna pambana na team ndogo kwa viwango eti subir mkutane na klabu kubwa [emoji847][emoji847][emoji847]Man utd fo ever
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huu mpira wa solskjaer hata kutoa hela huoni shida chukua li bek la napoli