Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa 5-5 huo ni ushindi au ni droo? Me nimesema timu ishinde sio droo, fanya ishinde 5-4, 4-3, 3-2 au hata 7-6 Michezo karibu yote na michache afungwe kabisa halafu uone kama kuna timu itamzuia kuchukua ubingwa kwa 7bu hana clean sheet
Magoli mengi (mfano 5-5) na umavi hai determine ubingwa

Kina determine ubingwa ni kufungwa mara chache, kuwa na clean sheets chacheb
 
Huyu sijui nani kampa hii kasumba ya clean sheet?
Ukiwa na ulinzi imara harafu hushindi na mwenzio hana ulinzi imara ana ruhusu magori lakini anaondoka na point nana mwenye nafasi ya kubeba kombe?
 
Hiyo ya ulinzi imara halafu haushindi ni yako, mimi nimesema ulinzi imara halafu unashinda hata kwa goli 1.... Haya uliza swali lako
 
Sasa 5-5 huo ni ushindi au ni droo? Me nimesema timu ishinde sio droo, fanya ishinde 5-4, 4-3, 3-2 au hata 7-6 Michezo karibu yote na michache afungwe kabisa halafu uone kama kuna timu itamzuia kuchukua ubingwa kwa 7bu hana clean sheet
Wewe shinda 7-6, wengine washinde 2-0 uone kama ubingwa haujausikia kwenye bomba
 
Wewe na ulinzi wako imara ana ushindi 1-0, me ulinzi dhaifu na nashinda 5-3 nani zaidi
Hiyo ya ulinzi imara halafu haushindi ni yako, mimi nimesema ulinzi imara halafu unashinda hata kwa goli 1.... Haya uliza swali lako
 
Wewe na ulinzi wako imara ana ushindi 1-0, me ulinzi dhaifu na nashinda 5-3 nani zaidi
Wewe safu yako bora inashinda 5-4, mimi nina ulinzi imara timu inashinda 2-0, nani yupo vizuri hapo
 
Ivi itokee timu ktk mechi 38 za msimu ishinde mechi 34 na zote iruhusu magoli ya kufungwa, halafu mechi 4 ifungwe kabisa zote, hapo kutakua hakuna clean sheet kwa hiyo timu, Lkn hapo niwazi hakutakua na timu itakayoifikia na itabeba ubingwa hata kama gemu zote iliruhusu magoli ya kufungwa, nataka nikuambie clean sheet ni upuuzi tu, hai determine nafasi ya ubingwa

Clean sheet Ni Muhimu kwa ajili ya Kuwaongeza thamani Mabeki na Kipa tu na so vyenginevyo ili Wabebe tunzo za Mabeki bora na Kipa bora, Na sokoni Wakitakiwa wauzwe kwa Mkwanja Mrefu kama Oblak Wa ticotico ambaye timu zimeshindwa kumnunua kwa thamani Yake ya £90m.
 
Hapo mkuu naungana na wewe

Back
Top Bottom