Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

unazungumzia kuhusu position??

Schmeichel
Ben Foster
Begovic
Hennessey
McCarthy
Dubravka
Rui Patricio
Jordan Pickford

hao makipa hapo wanaklin shits nyingi kuliko De Gea lakini kwenye msimamo wa ligi wote wapo chini ya De Gea that is why nikakuambia acha nikariri nnayokariri
Hao wengine sihangaiki nao, Schmichel ndio anaongoza clean sheets premier for all time (100 clean sheets) na amebeba makombe kuliko Degea halafu unasema kwenye msimamo wa ligi yupo chini ya Degea

Elewa, Acha kukariri na kudanganya

Clean sheets zinasaidia kuiweka timu pazuri. Period.
 
Football its all about three points acha mimi nikariri hivyo

De gea alikuwa na most clean sheets katika PL last season lakini ndoo alichukua City

nawe kariri unavyokariri ova

Hapa ninavyosoma Majadiliano Yenu Naona Nyote Mupo Sahihi ila Munapishana Kwenye Uwasilishaji tu.

Naweza Kusaidia kidogo:
• 3 Points with big number of Goal difference bila ya Kujali Idadi ya Clean sheeta ndiyo muhimu zaidi.

• 3 Points na Idadi Kubwa ya Clean Sheets with few number of Goal difference inaweza kuleta Matatizo mwisho Wa Msimu! Hii siyo Nzuri

Conclusion:
• Wingi Wa Points na Idadi Kubwa ya Goal Deference ndiyo Mafanikio Zaidi.
Mfano 5 - 2 ni bora kuliko 1 - 0

• Clean sheets only inasaidia Kudetermine kuwa BEKI na KIPA ni bora.

Alikuwa na most clean sheet na timu yake ilikuwa ya pili, mwaka huu ana clean chache na timu yake ipo namba ngapi

Uwe unaelewa na si kukariri
 
Hao wengine sihangaiki nao, Schmichel ndio anaongoza clean sheets premier for all time (100 clean sheets) na amebeba makombe kuliko Degea halafu unasema kwenye msimamo wa ligi yupo chini ya Degea

Elewa, Acha kukariri na kudanganya

Clean sheets zinasaidia kuiweka timu pazuri. Period.
unamzunguzia Schmeichel gani mkuu?? angalia usiwe wewe ndo unaedanganya me namzungumzia Kasper Schmeichel na sio baba nazungumzia recently issues

Burki na Ter Stergen hao ni makipa wa Dortmund na Barcelona hawapo katika top four ya clean sheet ktk ligi zao lakini timu zao zinaongoza ligi

itanichukua miaka miaka mingi sana kuamini kile unachoamini wewe
 
Hapa ninavyosoma Majadiliano Yenu Naona Nyote Mupo Sahihi ila Munapishana Kwenye Uwasilishaji tu.

Naweza Kusaidia kidogo:
• 3 Points with big number of Goal difference bila ya Kujali Idadi ya Clean sheeta ndiyo muhimu zaidi.

• 3 Points na Idadi Kubwa ya Clean Sheets with few number of Goal difference inaweza kuleta Matatizo mwisho Wa Msimu! Hii siyo Nzuri

Conclusion:
• Wingi Wa Points na Idadi Kubwa ya Goal Deference ndiyo Mafanikio Zaidi.
Mfano 5 - 2 ni bora kuliko 1 - 0

• Clean sheets only inasaidia Kudetermine kuwa BEKI na KIPA ni bora.
you nailed it
 
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini umeangalia umuhimu wa goli katika goli deference mwisho wa ligi, hujaangalia umuhimu wa goli katika kuleta points 3 muhimu

Mfano Leicester 2016/2017/

Kwanini umetoa mfano wa 5-2 na si 5-4
 
Na ikuchua hata maisha yako yote, sio lazima uamini ninachoamini
 
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini umeangalia umuhimu wa goli katika goli deference mwisho wa ligi, hujaangalia umuhimu wa goli katika kuleta points 3 muhimu

Mfano Leicester 2016/2017 kuna game nyingi alishinda kwa kagoli kamoja tu

Kwanini umetoa mfano wa 5-2 na si 5-4?, kwanini umetoa mfano wa 1-0 na si 3-0, naona mfano wako upo bias.

All in all, timu hata iwe na washambuliaji wakali kiasi gani, Kama ina defence inayovuja, basi ni ndoto kushinda taji.
 
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini umeangalia umuhimu wa goli katika goli deference mwisho wa ligi, hujaangalia umuhimu wa goli katika kuleta points 3 muhimu

Mfano Leicester 2016/2017/

Kwanini umetoa mfano wa 5-2 na si 5-4

Hapo umezungumzia Goal Scored na si Goal Defference.

NOTE:
• Katika Comment yangu nimezungumzia umuhimu Wa Goal difference (GD) na si Goal Scored (GS).

• Wingi Wa GD ndiyo unaotakiwa na si Wingi Wa GS.

• Unaweza Funga Magoli 101 per season, lakini Ukafungwa Magoli 51 katika season hii hii.
Hapo GD Ni 50 tu.

• Lakini Waweza funga magoli 71 tu per season, Na wewe ukafungwa magoli 16.
Hapo GD Ni 55.

• Unaweza Kuwa na Clean sheet 20 katika Michezo 38 ya EPL, lakini Umefunga Magoli 55 na umefungwa 7 tu.
Hapo GD Ni 45.

• Kwahiyo Kutolea mfano Wa 5 - 2 bado nipo sahihi kwani Kukosa Clean sheet inaanzia na goli moja tu, na sio lazima yawe Manne.
 
Hapo umezungumzia Goal Scored na si Goal Defference.

NOTE:
• Katika Comment yangu nimezungumzia umuhimu Wa Goal difference (GD) na si Goal Scored (GS).

• Wingi Wa GD ndiyo unaotakiwa na si Wingi Wa GS.

• Unaweza Funga Magoli 101 per season, lakini Ukafungwa Magoli 51 katika season hii hii.
Hapo GD Ni 50 tu.

• Lakini Waweza funga magoli 71 tu per season, Na wewe ukafungwa magoli 16.
Hapo GD Ni 55.

• Kwahiyo Kutolea mfano Wa 5 - 2 bado nipo sahihi kwani Kukosa Clean sheet inaanzia na goli moja tu, na sio lazima yawe Manne.

In that sense unaamini, bora 5-2 kuliko 4-0?

au unaamini bora 5-5 kuliko 1-0?

Clean sheets pia zinasaidia kuweka ukubwa kwenye goal difference
 
In that sense unaamini, bora 5-2 kuliko 4-0?

au unaamini bora 5-5 kuliko 1-0?

Clean sheets pia zinasaidia kuweka ukubwa kwenye goal difference

Ivi hii picha inaweza kukusaidia bila ya Mimi kueleza chochote?

• Liverpool ana Clean sheets 11
• Man City ana Clean sheets 8 tu
Then why MC awe GD kubwa?

Screenshot_20181224-112305.png
 
Hayo ni mawazo yako, na ninayaheshimu

Timu zote zinapata mafanikio ya kubeba ndoo, defensively lazima wawe solid

Angalia Leicester iliyochukua kombe 2016

Angalia Manchester City iliyochukua kombe 2017/2018

Angalia Liverpool ya msimu uliopita ilifunga sana lakini ikaruhusu sana kufungwa, na ikaishia kuwa msindikizaji

Angalia Liverpool ya mwaka huu, ina clean sheet zakutosha na angalia ilipo kwenye msimamo wa ligi

Wewe endelea kukariri tu kuwa Mourinho ndio alikuwa anapenda ulinzi imara, kila kocha mwenye kutaka makombe anataka ulinzi imara
Mbona hujasema msimu wa mwisho wa babu Fegi? Alichukua ubingwe akiwa na ukuta mbovu kabisa, gemu nyiingi akishinda kwa 4:3, 3:2, 4:2 na kadhalika
 
huu ni msimu wa tatu kipa wa tiko tiko ndo anakuwa kipa mwenye klin shit nyingi kuanzia la liga mpaka ulaya nzima kwa msimu anaondok na klin shit 23+ lakini makombe wanachukua Barca

nadhani wewe ndo umekariri
Sawa kabisa mkuu
 
Ivi hii picha inaweza kukusaidia bila ya Mimi kueleza chochote?

• Liverpool ana Clean sheets 11
• Man City ana Clean sheets 8 tu
Then why MC awe GD kubwa?

View attachment 975962

Kwa sababu amefunga magoli mengi zaidi

Je unadhani ni coincedence mwenye clean sheets 11 kuwa mbele ya mwenye clean sheets 8? Au unadhani ni coincedence timu zilizopo top 4 kwa sasa kuwa ndio timu zilizopo top four ya clean sheets nyingi? Je unadhani ni coincedence, Huddersfield, Fulham et al kushika nafasi walizoshika? wakati huo huo kumbukumbu ya clean sheets yao ni ya kukatisha tamaa?

Au unadhani ni coincedence United yenye clean sheets nyingi msimu wa 2017/2018, kumaliza ligi ya pili na yenye clean sheets chache msimu huu ku struggle msimu wa 2018/2019?

Na tunapoelekea, naona unatafsiri kama nimesema clean sheets ni kila kitu ili timu iwe juu kimchezo. NO. Nimesema timu yenye clean sheets nyingi ina chance kubwa ya kufanya vizuri kuliko ile inayoruhusu nyavu zake kutikiswa mara kwa mara
 
Mbona hujasema msimu wa mwisho wa babu Fegi? Alichukua ubingwe akiwa na ukuta mbovu kabisa, gemu nyiingi akishinda kwa 4:3, 3:2, 4:2 na kadhalika[/QUOTE

Degea alikuwa ana clean sheets 11, kwa mtazamo wangu hazikuwa chache.

Lakini kigezo cha clean sheets sio kigezo pekee, ieleweke hivyo. Lakini timu inayoweza kuwa na clean sheets nyingi inakuwa na chance kubwa ya kufanya vizuri
 
Uwe unaelewa, ninachomaanisha hapa ni implication ya clean ya sheets ni kwamba timu ina ruhusu kufungwa mara chache hivyo, ni rahisi kukusanya points hata inapofunga goli moja, au magoli machache

Imagine mechi ya Southampton, Newcastle, Brighton, Wolves United angepata clean sheet angekuwa wapi kwenye ligi?

Hata hao unaotoa mfano wasingekuwa na hizo clean sheets may be wangekuwa wanamaliza ligi kwenye nafasi za 6 au 7

Ukweli ni kwamba, timu with the most clean sheets ina nafasi kubwa ya kuwa kwenye nafasi nzuri ya ligi na kuchukua makombe, Italia ipo hivyo, Ujerumani ipo hivyo, Ufaransa ipo hata Tanzania ipo hivyo.

Wewe umeangalia kamfano kako kamoja ka La Liga, ambapo hata huyo bingwa alikuwa wa 2 kwenye kuwa na clean sheets nyingi. KWA HIYO CLEAN SHEETS (SOLID DEFENCE) DO MATTER.

Na timu with the least clean sheets ina nafasi kubwa ya kushuka daraja au kuwa pabaya kwenye msimamo wa ligi hata ukiangalia kwenye ligi mbalimbali ipo hivyo

Kama hujali clean sheets cheza ovyo ovyo bila kuzingatia defense kama Evertoon upigwe 6 kwa 2 tuone kama utafurahi.

NARUDIA TENA, ACHENI KUKARIRI. MPIRA SIO KUSHAMBULIA PEKEE, LAZIMA UTAFUTE BALANCE KATI KUSHAMBULIA NA KULINDA.

Sasa hivi Uingereza, Liverpool na City ndio wanaoongoza clean sheets na ndio wapo top 2, Chelsea na Spurs wanafuata kwa clean sheets na wapo top 4.

ACHA KUKARIRI MKUU
Hamna lolote ukiwa na safu nzuri ya ushambuliaji utabeba ubingwa hata kama kila mechi utaruhusu magoli na mfano nimekupa msimu wa mwisho wa sir Alex, na jamaa kakupa mfano wa tico tico hapo kwa misimu 3 mfululizo wanaongoza kwa clean sheet lkn ubingwa wanausikia tu
 
Alikuwa na most clean sheet na timu yake ilikuwa ya pili, mwaka huu ana clean chache na timu yake ipo namba ngapi

Uwe unaelewa na si kukariri
Kwani lengo ni kushika nafasi ya pili au bingwa?
 
unazungumzia kuhusu position??

Schmeichel Leicester
Ben Foster Watford
Begovic Bournemouth
Hennessey C. Palace
McCarthy Soton
Dubravka Newcastle
Rui Patricio Wolves
Jordan Pickford Everton

hao makipa hapo wanaklin shits nyingi kuliko De Gea lakini kwenye msimamo wa ligi wote wapo chini ya De Gea that is why nikakuambia acha nikariri nnayokariri
Hahahahha mnyooshe mkuu
 
Hapa ninavyosoma Majadiliano Yenu Naona Nyote Mupo Sahihi ila Munapishana Kwenye Uwasilishaji tu.

Naweza Kusaidia kidogo:
• 3 Points with big number of Goal difference bila ya Kujali Idadi ya Clean sheeta ndiyo muhimu zaidi.

• 3 Points na Idadi Kubwa ya Clean Sheets with few number of Goal difference inaweza kuleta Matatizo mwisho Wa Msimu! Hii siyo Nzuri

Conclusion:
• Wingi Wa Points na Idadi Kubwa ya Goal Deference ndiyo Mafanikio Zaidi.
Mfano 5 - 2 ni bora kuliko 1 - 0

• Clean sheets only inasaidia Kudetermine kuwa BEKI na KIPA ni bora.
Umemaliza mkuu
 
Hamna lolote ukiwa na safu nzuri ya ushambuliaji utabeba ubingwa hata kama kila mechi utaruhusu magoli na mfano nimekupa msimu wa mwisho wa sir Alex, na jamaa kakupa mfano wa tico tico hapo kwa misimu 3 mfululizo wanaongoza kwa clean sheet lkn ubingwa wanausikia tu
hata sasa Oblak anaongoza kwa clean sheets La liga lakini Barca yupo top na kipa wa Barca yupo out of top 4 kwa clean sheets this season

king ngwaba (kama sijakosea jina lake) jamaa ameelezea vzr sana ndiyo maana umeona nimetulia kimya naamini kile nnachoamini
 
Back
Top Bottom