Mourinho atapata timu atachukua makombe hata kabla ya Manchester kuchukua kombe lolote.
Kwanza ni shabiki Wa timu gani? Labda tujue hilo kwanzaUnataka kumaanisha nini kwa hiyo kauli yako mkuu #xYz07
Hamna lolote, Liverpool mwaka jana walikuwa vizuri sana mbele lakini hawakufanikiwa kushinda kitu chochote sababu ya poor defenceHamna lolote ukiwa na safu nzuri ya ushambuliaji utabeba ubingwa hata kama kila mechi utaruhusu magoli na mfano nimekupa msimu wa mwisho wa sir Alex, na jamaa kakupa mfano wa tico tico hapo kwa misimu 3 mfululizo wanaongoza kwa clean sheet lkn ubingwa wanausikia tu
Acha kukariri weweMkuu yy ndo anakariri
Lengo ni kufanya vizuri, kwani sasa hivi Man Utd mbona anataka nafasi ya nne? Timu zina malengo mengi, kwani kila timu itakuwa bingwa? Acha kukariri wewe!!Kwani lengo ni kushika nafasi ya pili au bingwa?
Staili za umbea hiziHahahahha mnyooshe mkuu
Hamna lolote, Liverpool mwaka jana walikuwa vizuri sana mbele lakini hawakufanikiwa kushinda kitu chochote sababu ya poor defence
Acha kukariri wewe
Lkn lengo la timu kubwa ni kuwa bingwaLengo ni kufanya vizuri, kwani sasa hivi Man Utd mbona anataka nafasi ya nne? Timu zina malengo mengi, kwani kila timu itakuwa bingwa? Acha kukariri wewe!!
Ivi itokee timu ktk mechi 38 za msimu ishinde mechi 34 na zote iruhusu magoli ya kufungwa, halafu mechi 4 ifungwe kabisa zote, hapo kutakua hakuna clean sheet kwa hiyo timu, Lkn hapo niwazi hakutakua na timu itakayoifikia na itabeba ubingwa hata kama gemu zote iliruhusu magoli ya kufungwa, nataka nikuambie clean sheet ni upuuzi tu, hai determine nafasi ya ubingwaStaili za umbea hizi
Kuchukua kombe ni kufanya vizuri lakini, kuwa nafasi ya pili pia ni kufanya vizuri tofauti na kuwa wa sitaWangekua vizuri mbele wangechukua ubingwa, mbona United ya sir Alex ilichukua japo ilikua na poor defance
Kuchukua kombe ni kufanya vizuri lakini, kuwa nafasi ya pili pia ni kufanya vizuri tofauti na kuwa wa sita
Wewe hujaelewa fuatilia mjadala tangu mwanzo. Hivi unaelewa maana kusema timu ikioata clean sheets za kutosha itakuwa na NAFASI NZURI YA KUCHUKUA KOMBE, au nimekwambia ni lazima ichukue? Kwenye mpira kuna factor nyingi za timu kushinda vikombe ikiwemo ulinzi imaraIvi itokee timu ktk mechi 38 za msimu ishinde mechi 34 na zote iruhusu magoli ya kufungwa, halafu mechi 4 ifungwe kabisa zote, hapo kutakua hakuna clean sheet kwa hiyo timu, Lkn hapo niwazi hakutakua na timu itakayoifikia na itabeba ubingwa hata kama gemu zote iliruhusu magoli ya kufungwa, nataka nikuambie clean sheet ni upuuzi tu, hai determine nafasi ya ubingwa
Kukariri ni kubaya sanaIvi itokee timu ktk mechi 38 za msimu ishinde mechi 34 na zote iruhusu magoli ya kufungwa, halafu mechi 4 ifungwe kabisa zote, hapo kutakua hakuna clean sheet kwa hiyo timu, Lkn hapo niwazi hakutakua na timu itakayoifikia na itabeba ubingwa hata kama gemu zote iliruhusu magoli ya kufungwa, nataka nikuambie clean sheet ni upuuzi tu, hai determine nafasi ya ubingwa
Wewe hujaelewa fuatilia mjadala tangu mwanzo. Hivi unaelewa maana kusema timu ikioata clean sheets za kutosha itakuwa na NAFASI NZURI YA KUCHUKUA KOMBE, au nimekwambia ni lazima ichukue? Kwenye mpira kuna factor nyingi za timu kushinda vikombe ikiwemo ulinzi imara
Kukariri ni kubaya sana
Nasisitiza clean sheets ni muhimu sana kwa timu inayocheza ili kupata mafanikio.Narudia tena clean sheet haina nafasi yoyote ktk kuchukua ubingwa, muhimu nikushinda tu kila mchezo haijalishi kama na wewe unaruhusu nyavu kutikiswa au la, shinda Michezo mingi kadiri inavowezekana halafu usiwe bingwa kwa 7bu huna clean sheet nyingi
Magoli mengi (mfano 5-5) na umavi hai determine ubingwaClean sheet na upuuzi na hai determine bingwa
Ukiwa na ulinzi imara harafu hushindi na mwenzio hana ulinzi imara ana ruhusu magori lakini anaondoka na point nana mwenye nafasi ya kubeba kombe?Nasisitiza clean sheets ni muhimu sana kwa timu inayocheza ili kupata mafanikio.
Clean sheets ina maanisha ulinzi imara
Ulinzi imara ina maanisha kufungwa kwa nadra
Na kufungwa kwa nadra inamaanisha chance kubwa ya kushinda