Ingekuwa umebeti sasahivi ni kuchekelea tu.......Tukipata goli la 5 ntafurahi sana
Noma sana mkuuIngekuwa umebeti sasahivi ni kuchekelea tu.......
I love man utd
Fergie alianza na vichapo Manu, the rest is history.Vitu vingine havihitaji utafiti saana kuvielewa,Siku njema huonekana asubuhi tu
hawapo vizuri toka 2013 na mabanda umiza bado yana nyomi.United km hayupo vizuri, EPL inadoda saana hata mabanda umiza yanapooza.
Nimefurahi sana kumuona fred na PereiraYaani mimi, mpaka hapa sijaona wa kumfanyia sub
Natamani kesho tucheze tena.




boss umeuelewa msako wa nyani leo


Tumechezewa sana, tumeliwa sana.
boss umeuelewa msako wa nyani leo
Hapa nakuunga mkono



naona mnaanza kuongea lugha moja na jamaa yako Daud1990.Ombi lako limesikikaTukipata goli la 5 ntafurahi sana