Kwa bahati mbaya kwenu na nzuri kwetu bwana mou ameondoka jana katuachia mataji matatu ndani ya miaka miwili aliyokaa nasi. Majogoo miaka kumi sasa hakuna kikombe chochote kipya ndani ya makabati yenu.tifu kwa Manchester United na Kunikumbusha Liverpool ya akina Phil Neal, Alan Hansen na Ian Rush.
Kilichotokea Jumapili ni Liverpool FC kuipa Manchester United PENZI la Ghetto ambalo Kanye West anampa Kim Kardashian.. Kama Hujui Penzi la ghetto tafuta video ya Kanye West na Kim Kardashian wakiwa Ikulu ya Uganda kwa Yoweri Kaguta Museven.
Ashante Jurgen Kloop kwa kusababisha majivu ya Bill William Obe Shankly kukusanyika kwa Mara nyingine ndani ya ardhi tukufu ya Anfield
[emoji2398] Montelo 10
hahaha nyinyi prof wenger anawafaa sanaKama tunataka mpira wa kushambulia basi ni kocha wa spurs tu zidane mechi kubwa anacheza kaunta atak means anapak bus
uu umemsahau MWINYI ZAHERA nae anatajwatajwa sanaPossible replacement
1. Carrick
2. Arteta
3. Jardim
4. Blanc
5. Zidane
6. Wenger
7. Pochetino
8. Garry Neville
9. Conte
10. Hiddink
11. Rodgers
Hawa ni baadhi ya makocha wanaotajwa tajwa
hahaha nyinyi prof wenger anawafaa sana
Kuna uwezako mkubwa Bwana Baby Face akafanikiwa kwa kiasi chake, kwasababu anauzoefu mkumbwa na baadhi ya wachezaji tangu wakiwa wadogo, haswa huyo Paul Pogba, na taticts zake hazina utofauti na zile za Babu Fergie,Kutakuwa na mabadiliko makubwa katika chumba cha kubadilishia nguo.
Aliwahi kuwa kocha wa reserve ya Man united miaka ya mwanzoni na alifanya kazi chini ya Sir Fergie ndo maana nimesema aliwahi fanya kazi na baadhi ya wachezaji. Cardiff huko mambo ya kukosekana kwa mahitaji ya wachezaji stahiki na issue nyinginezo ndo ilikuwa sababu.Solskjaer amefundisha Molde na Cardiff ambayo aliishusha daraja sasa uzoefu mkubwa ni upi
Young utakuwa kama mourinho....De Gea
Valencia Bailly Lindelof Young
Fred Herrera Pogba
Mata Rashford Martial
Ningepewa Timu Jumamosi dhidi ya Cardiff ningetembea hivo
acha kulialia wewe ....mbona mlimpokea mou ambaye alitoka kutimuliwa?Wakuu tumeletewa kocha wa zamani wa Cardif city ambaye aliishusha daraja
acha kulialia wewe ....mbona mlimpokea mou ambaye alitoka kutimuliwa?
Kuna WAOGA humu hawatatoa maoni yao sasa hivi, watasubiri Ole afanye vibaya wamponde, au afanye vizuri waje na hoja uchwara.
Kwa bahati mbaya kwenu na nzuri kwetu bwana mou ameondoka jana katuachia mataji matatu ndani ya miaka miwili aliyokaa nasi. Majogoo miaka kumi sasa hakuna kikombe chochote kipya ndani ya makabati yenu.
Inawezekana wewe ndio hujiamini ndio maana unaita wengine hawajiaminiSymptoms of inferiority complex, kwa nini ulazimishe kwamba eti ambaye hatatoa maoni ni mwoga?
Maoni yako yanaweza kuwa ni sahihi na watu wakaamua kukaa kimya kwa sababu wanaona umemaliza kila kitu.
Jiamini.