Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 573
- 5,014
BREAKING NEWS
MWINYI ZAHERA, kumbe kaondoka yanga kweli, na kuanzia muda wowote hivi Leo anatangazwa kuwa manager mpya wa Manchester united....
Ile kusema anaenda kusinya karatasi zake ulaya sio kweli, anaenda kwenye jiji la Manchester tayari kuchukua mikoba ya mourinho....
KILA LA KHERI MWINYI ZAHERA KWENYE MAJUKUMU YAKO MAPYA
Naona leo umerudi kutoka timu yako ya mkopo Ya middlesbloughNafukua kaburi, kipindi watu humu wakiongelea tetesi za Mourinho kuajiriwa Manchester United, mimi nilisema kama inavyoonekana hapo juu.
Soma historia yao kwenye Takeover ya timu kama sijakosea toka 1931 Man u haina deni, jamaa hao walikopa bank na kufanya Takeover na kuhamishia deni lote kwenye timu. Hili deni unaloliona sasa hivi Man U historia yake ni Deni la mmiliki na sio Club.Glazers ndio wanye timu ww unawaita wahuni.
Ww sema wanachohitaji ni director of football. Na right coach basi.
Mkuu Manchester ya van gaal ilikua inacheza soka la kuvutia?Sikuelewa kwann bodi hawakumwamini huyu kocha na at least yeye aliweza kufanya timu icheze soka la kupendeza
Huyo Blank mbona anatajwa lakini hana cha kujivunia. Credit ni Simeoni buanaPossible replacement
1. Carrick
2. Arteta
3. Jardim
4. Blanc
5. Zidane
6. Wenger
7. Pochetino
8. Garry Neville
9. Conte
10. Hiddink
11. Rodgers
Hawa ni baadhi ya makocha wanaotajwa tajwa
Kulikua pia na fundi Peter Kenyon,kabla ya kuvutwa na Abramovich akaisuke Chelsea mnayoiona,Kisha akaja David Gill nafasi inayotumiwa na mzee wa commercial Ed Woodward kwa sasa....Man u walikuwa naye enzi za fergie. David gill kama unamkumbuka. huyu ndio alileta vyombo pale united. Toka aondoke man u imekuwa ikisajili wachezaj wa ajab ajab. Na pia man u ikavunja structure ya director of football.
Bado Mourinho ndio kocha mwenye mafanikio baada ya SAF kuliko wengine wotekumbukumbu zangu zinanidanganya kuwa, Van Gaal aliwapa FA na kesho yake Mourinho akatangazwa kumreplace.
Tufanye ni kweli.Lakini huyu hana tofauti na aliyeondoka.Mpira wa kujilinda.BREAKING NEWS
MWINYI ZAHERA, kumbe kaondoka yanga kweli, na kuanzia muda wowote hivi Leo anatangazwa kuwa manager mpya wa Manchester united....
Ile kusema anaenda kusinya karatasi zake ulaya sio kweli, anaenda kwenye jiji la Manchester tayari kuchukua mikoba ya mourinho....
KILA LA KHERI MWINYI ZAHERA KWENYE MAJUKUMU YAKO MAPYA
Vipi kuhusu Van Gaal na Moyes?Mourinho toka kaja kapeawa kiasi gani? Tayizo ni mourinho.
Pochettino hafai, Manu na washabiki wake hawako tayari kusubiri timu ijengwe upya miaka 5-10 bila vikombe. Sioni pochettino kama jamaa wa vikombe bali jamaa wa kutengeneza timu ya top 4.So it’s £24m to sack Mourinho (per @DuncanCastles) & £34m to get Pochettino out of Spurs (per @MattHughesTimes).
£58m in total - or around three-quarters of a Harry Maguire.
United fans are busy celebrating d sack of Mourinho, forgetting he left Lukaku behind
Nadhani ni hawa
Mkuu asante sana wewe ni moja ya viumbe serikali inapaswa kuwazungushia ukuta.Nafukua kaburi, kipindi watu humu wakiongelea tetesi za Mourinho kuajiriwa Manchester United, mimi nilisema kama inavyoonekana hapo juu.
Halafu jitu liko Kisiju huko linasema Mou aongezewe muda.. Sijui walikuwa wanaangalia mechi zipi.Nimeokota huko mtaani
MAN U is the most consistent team.
_One win in August._
_One win in September_
_One win in October._
_One win in November._
_••••• its just like menstruation cycle!!!
If they don't win in December know that they arepregnant
Mmeshaokota embe kwenye Mparachichi kwanini msiumie.Steven Gerrard: “He’s (Mourinho) a winner. How can I sit here and say anything bad about him? He’s a serial winner. He’s been sacked at Manchester United but he’s won them a couple of trophies. I don’t think you can criticise him too much.” #mufc [MEN]