Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani beba tuliweza kumfanya awe vizur?
 
Nadhan kikubwa kilichomtoa kocha pale ni mahusiano mabaya ya wazi wazi kati yake na wachezaji na akajaribu pia kuonyesha kwamba pia bodi haimpi support wazi wazi lakini yeye binafsi hakutaka kukubali mapungufu yake
Kuna wachezaj wengine ngumu sana kuwavumilia makosa yanajirudia rudia tu unafanyaje ndugu yangu? Falsafa ya timu hutolewa na kocha sio mchezaj akishindwa kwendana nayo si anauzwa


Paulinho na sandro walinunuliwa kwa pesa ndefu na spurs walishindwa kwenda na kasi ya pochetino waliuzwa
 
Issue mkuu haijakuwa solved huyo kocha anaekuja nae atatimuliwa muda si mrefu. Issue ipo kwa glazer na genge lake la wahuni ambao wanakula hela za Man u kwa ujanja ujanja
 
Wanaiiga arsenal sasa.
Recruitment procedure, na kuwa na mkurugenzi wa soka ambaye kocja ataripoti kwake.
Arsenal tunaweka mifano uk.
 
Salute kwako mkuu
 
Jose Felix Mourinho; mwanadamu mmoja, mtu mmoja, jeuri mmoja, kiburi mmoja, mjivuni mmoja, konki mmoja....... Amekuwa mwamba sana lakini december imekuwa jabali kwake...... Jose alikuwa amemaliza kila kitu mapema sana, muda mwingi alikuwa akitumia makombo yakiporo tu.

Laurent Blanc anaweza kuwa mtu sahihi kwa Manchester United, mbinu, utamaduni, urafiki, pamoja na aina ya ucheza wa ufundishaji wake vinaweza kuwa tiba kwa mashetani wekundu.
 
Mkuu bodi inalaumiwa kwa kutafuta watu ambao si sahihi kuiongoza club unampa kazi kocha mpak bus halafu unamnyima pesa unafanya nini? Yani rashford akabe?

Tulitegemea mourinho awe kama pep au klopp bodi ilitakiwa kuchinjwa kwanza ndipo anafuata kocha

Angalia arsenal walianza kuangalia misingi yao kwanza kabla hawajamfikia kocha kumpa kazi
 
Nimeokota huko mtaani

MAN U is the most consistent team.


_One win in August._
_One win in September_
_One win in October._
_One win in November._
_••••• its just like menstruation cycle!!!

If they don't win in December know that they arepregnant
 
BREAKING NEWS

MWINYI ZAHERA, kumbe kaondoka yanga kweli, na kuanzia muda wowote hivi Leo anatangazwa kuwa manager mpya wa Manchester united....

Ile kusema anaenda kusinya karatasi zake ulaya sio kweli, anaenda kwenye jiji la Manchester tayari kuchukua mikoba ya mourinho....


KILA LA KHERI MWINYI ZAHERA KWENYE MAJUKUMU YAKO MAPYA

 
U have a point chusa. Ninachoona ni kuwa man utd ina kikosi kizuri. Tatizo ni kocha. And yes confidence ni tatizo. Lakin kikosi hiki kikirudishiwa confidence kitakuwa moto sana
 
Wanaiiga arsenal sasa.
Recruitment procedure, na kuwa na mkurugenzi wa soka ambaye kocja ataripoti kwake.
Arsenal tunaweka mifano uk.
Man u walikuwa naye enzi za fergie. David gill kama unamkumbuka. huyu ndio alileta vyombo pale united. Toka aondoke man u imekuwa ikisajili wachezaj wa ajab ajab. Na pia man u ikavunja structure ya director of football.
 
Issue mkuu haijakuwa solved huyo kocha anaekuja nae atatimuliwa muda si mrefu. Issue ipo kwa glazer na genge lake la wahuni ambao wanakula hela za Man u kwa ujanja ujanja
Glazers ndio wanye timu ww unawaita wahuni.
Ww sema wanachohitaji ni director of football. Na right coach basi.
 
So it’s £24m to sack Mourinho (per @DuncanCastles) & £34m to get Pochettino out of Spurs (per @MattHughesTimes).

£58m in total - or around three-quarters of a Harry Maguire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…