Kwani kumtetea kocha ni kosa? Ujue wengine huwa wanataka wazo lao ndio liwe msimamo ogopa sana kuingia kwenye hilo genge
Binafsi hata ukifukua post zangu nilikuwa wazi mimi ni mshabiki wa timu na kocha haijalishi tupo kwenye hatua ipi akifukuzwa poa akibaki poa
Hadi mourinho anafukuzwa umewahi kuona mashabiki wa manchester united kule Uk wamebeba mabango ya mourinho out?
Mchawi bado yupo ndani ya timu tutaanza kufurahia mpira hadi tuwe timu ya mpira wa miguu sio timu ya kibiashara leo tumemfukuza kocha hivi young anaweza kuwa mendy au walker tuwe wakweli tu