Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Lingard recieves an early christmas gift from Alisson Becker.
Matic huyu huyu kutoka nchi ya Serbia Mkuu ?
Narudia kusema Pogba ni jipu
Narudia tena kusema mtu wa kumtoa pale kati ni Matic na hakuwa pogba.



Hii timu ningekuwa mkenya ningejinyonga.Mourinho ni mbahatishaji sitoshangaa Man United wakashinda
Zaidi ya goal Shaqir hajafanya lolote. But piga hao man United. Wamfukuze Mourinho.Shaqiri asipokuwemo kwenye timu
badili uraia mkuu, ukajinyongee kule kajiado au kiberaHii timu ningekuwa mkenya ningejinyonga.
Haya subiriHahah
Kama kawaida yetu
ManComeback
Tunasubiri tena tufungwe ili tuchomoe, tumeisha zoe
Zaidi ya goal Shaqir hajafanya lolote. But piga hao man United. Wamfukuze Mourinho.