LIVERPOOL FC
kocha: jose mourinho
- mignolet
- alexander arnold
- robertson
- joel matip
- dejan lovren
- james milner
- henderson
- divorg origi
- daniel sturridge
- adam lallana
- albert moreno
- dominic solanke
- markovic
- chamberlain
- xherdan shaqiri
Arsenal fc
kocha: jose mourinho
- peter cech
- lichsteiner
- nacho monreal
- mohammed elneny
- koscielny
- sokratis
- holding
- mustafi
- welbeck
- kolasinac
- iwobi
- jenkinson
mwenye namba za yule mchungaji aliyemtoa amber rutty atuwekee tafadhali tunahitaji kuanzisha kampeni ya kumtoa gerezani sheikh jose mourinho, naamini yule mchungaji atatusaidia kwa sababu anaonekana ni mwerevu sana na hana ubaguzi wa aina yoyote.
pia aliye karibu na jose mourinho amnunulie kioo apate kujitazama, pia amwambie sio nywele nyeupe pekee tu zilizopo kichwani mwake bali hata sura yake ya mvuto iliomvutia ed woodward imeshaanza kuzeeka na hata kama itatokezea atafanya upasuaji kama wanawake wa kiafrika na kupenda kwao maumbile makubwa mvuto wake wa mwanzoni utachelewa kurudi.
niliwahi kuuliza humu ndani kwa nini tulimsajili fred?
inaonekana ed woodward na jose mourinho hawana muda wa kuchat pamoja hata kwa kutumiana ujumbe wa tafadhali nipigie kwenye simu zao.
- inaonekana jose mourinho amefikia nyakati hajui hata hitaji lake ni lipi na kama mourinho anafahamu mahitaji yake ya muhimu kwa nini alikimbilia usajili wa kiungo na si usajili wa mlinzi wa kati kama anavyolia kila siku na kwa nini alikimbilia usajili wa sanchez wakati ambao rashford na martial walikuwa wanacheza vizuri mwanzoni mwa msimu?
- je ed woodward alimuingiza choo cha kike jose mourinho kwa kumuahidi kuwa atamtimizia mahitaji yote au ni yeye mwenyewe mourinho alijiingiza choo cha kike kwa kuwa pengine alishapewa taarifa ya kwamba bajeti ya usajili haitazidi paundi millioni 80 ?
- tafadhali ed woodward na wewe huko uliko kama huna mpango wa kumuondoa mzee huyu madarakani basi mtimizie mahitaji yake ili kelele zake zimalizike na akose cha kujitetea pindi anapofanya vibaya.
wapenzi wa fred naomba muwe wavumilivu kwa sababu serikali yetu tukufu ndio inatafuta pesa za kumnunua ndugu yake terry,au vidic,au ferdinand na au ndugu yake carvalho ricardo ili waje wamuezeshe fred apate nafasi ya kucheza.
sipati picha kama mourinho angelikuwa na wachezaji kama niliowataja hapo juu kupitia timu mbili zilizopo juu yetu muda huu.