Sub nzur ya Ander Herrera.
Pogba anatakiwa kuchezea timu yenye viungo Makin anahitaj kuwa free baada ya Ander Herrera kuingia alianza KuonekanaPogba mpira anaoucheza hamna kiungo wa kumhweka benchi, angalia pasi anazopiga katika kuchezesha timu
Ivi Pogba Yukoje Uwanjani, Mi nmuona Anakimbia tuh! Au Sioni Vizuri
Hilo liko wazi...
Bado nitaendelea kuamini hamna mchezaji wa kumsugulisha Herrera pale MUFC.
Sio big four hata kujiamin kwa wachezajNaona mourinho kafurahi sana..
Ushindi wa leo anamatumaini
Atakua big four
Umeonaeee halaf nimeona nnawashabiki feki wa man u hawa wanaoponda game 1st halfKila mtu anarudi Nafasi yake Taratibu
Sio big four hata kujiamin kwa wachezaj
Pogba anatakiwa kuchezea timu yenye viungo Makin anahitaj kuwa free baada ya Ander Herrera alianza Kuonekana
Kuna wakati huwa nafikiria Pogba akae bench wachez Matic, Fred na Herera
Bado nitaendelea kuamini hamna mchezaji wa kumsugulisha Herrera pale MUFC.
Hata LingardKuna goli amekosa Rashford sijaamini.
Hata Pogba na ShawKuna goli amekosa Rashford sijaamini.
Kuna wakati huwa nafikiria Pogba akae bench wachez Matic, Fred na Herera
Mi mwenye siipend hata kidogoHii tabia ya kuwatanguliza watu kisha tunawapita isiwe mazoea. Safi vijana japo ushindi wa NGAMA ila kitaeleweka
Yaah! kama ile ya Newcastle tulikuwa tunapumulia mashineMi mwenye siipend hata kidogo