Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu alisema humu hata simkumbuki kwamba bailly hapangwi kwa sababu rojo majeruhi.... Maana ndie anaefit nae
 
Jamaa katia beki saba
Hahahahahaha aseno ushindi kwenu ni sare
 
Ila Leo Vijana Wanajituma.

Ila Izi Kadi Dooh!!
Amebakia mmoja, aking'ofolewa huyo timu ina kaa sawa.

Tatizo kubwa baadhi ya mashabiki wao ndio mqkocha wa kocha, ndio bodi, ndio wachezaji.

Wana vyeo vikubwa kushinda wamiliki wa timu na bodi.
 
On target duuh
Screenshot_20181205-235727.jpeg
 
Back
Top Bottom