Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Identity kwenye style ya uchezaji au kwenye nini mkuuAhsante kwa taarifa Bro, vipi Identity ya UNITED.?
Identity kwenye style ya uchezaji au kwenye nini mkuuAhsante kwa taarifa Bro, vipi Identity ya UNITED.?
Hahahahaha mkuu unanichekesha sanaHii ya kwenda kuitafuta siwezi
Nimefurahi bwana misifa......kala benchKikosi cha JoseView attachment 957503
Kwa Fredy ninashindwa kumuelewa JoseBora hata nisingelipia kifurushi cha hela nikale pombe..sasa Fred alisajiliwa UNITED kuja kufanya nini??
Wewe ni shabiki wa united au wa FRED?Bora hata nisingelipia kifurushi cha hela nikale pombe..sasa Fred alisajiliwa UNITED kuja kufanya nini??
Naamini hii ni mechi ya mwisho kwa Jose Mourinho kama Manager wa Man Utd
Mkuu umeongea kweli. Darmian leo ndio kiungo wetu. NGOJA NIKALALENaamini hii ni mechi ya mwisho kwa Jose Mourinho kama Manager wa Man Utd
José amechoka wakuu!