severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Kwani kabakisha muda gani ktk mkataba?-Kiungo wa Klabu ya Manchester United Andreas Pereira atajiunga na Klabu ya Arsenal Kwa ada ya Usajili wa £10m ikiwa Klabu ya Manchester United itamuuza katika dirisha la usajili wa mwezi wa kwanza.
Source(Daily Star)View attachment 947239
Mbona anaongelea washabiki siyo wachezaji?Mourinho “If you feel pressure, stay at home, and when I say home I don’t say stadium home, I say home home and watch on TV. When the people come to support, come on. I don’t feel pressure to play at home.” ........Hapa tuliingia kwenye 18 za wahuni tumepigwa mazima pesa kibao day.....
Hivi kweli kocha unawachezaji below miaka 25 unatoa hayo maneno? Hajui hao madogo wanahitaji mno kupewa mawaida ya confidence na upendo wa kocha..... kama jamaa hataki kubaki united si Adele direct tu kuliko huu ujinga anaobwabwaja
Hili mbn ni kundi tosha la Man U! Huku watu wa chelsea utawaona pia wana comment. Hayo magrup ya Man U hawataki ishu za mpira mwingn. Itakua we unataka zionekane msg zipo nying kweny cm ako au upo bize kuchatAnyone ambaye anaweza niunga kundi la man u whatsapp ni dm nkutumie my number
Hapa na ww umeongea uongo mno gemu ya kwanza tulicheza vizur sana labda tv yako ina makengeza hata mech ya jana umaliziaji tu rashford hakosi lawama
Hili mbn ni kundi tosha la Man U! Huku watu wa chelsea utawaona pia wana comment. Hayo magrup ya Man U hawataki ishu za mpira mwingn. Itakua we unataka zionekane msg zipo nying kweny cm ako au upo bize kuchat
Rashford, eti watu walianza kumfananisha na MbapeMimi ndiyo maana kuna muda sioni sababu ya kumlaumu mwalimu Huyu rashford one on one hajawahi kufunga
Nyuzi zote zinachangiwa inategemeana na siku...Uzi unaochangiwa zaidi kuliko zote kwenye spoti
Nyuzi zote zinachangiwa inategemeana na siku...
Sijakuelewa naomba nieleweshe...Looserpool vipi?
1.DeGea kagoma kuongeza mkataba..
2.Pogba nae anataka kuondoka
3.Alexis Sanchez anasubiri dirisha lifunguliwe atimke..
Morinho akiendelea kubaki utd tutapoteza kila mchezaji wa muhimu..wachezaji wamemchoka.period
Sasa kama timu ina fan base kubwa unategemea nini mkuuUzi unaochangiwa zaidi kuliko zote kwenye spoti
Bahati nzuri na wewe umekubali kwamba SAF alikuwa ana power (kwenye maelezo) na hiyo ndio hoja yangu. Power ninayoongelea ni kusikilizwa na bodi na kufanya yale anayoamua yeye
Kuhusu bajeti ndogo, ni kweli alikuwa anapewa fedha ndogo kusajili lakini ni ndogo unapolinganisha na bajeti za siku hizi.
Lakini kwa wakati ule bado zile bajeti zilikuwa kubwa. Nakumbuka alimnunua beki ghali Uingereza, kwa £ 30+ million Ferdinand kwa wakati huo. Lakini hata kwa £ 19 million kipa, kinda kama Degea ilikuwa ni kubwa mno. Sijataja akina Berbatov, Nesterloy n.k (kwa solo la wakati ule)
Ofcourse hatoonekana kuwa yupo serious na mpira, with his way of playing unafikiri yupo serious? He is not a guy who gets into a game to win, how can you take this guy as serious? afu aje ampige POGBA kiatu??? Duh!Mkuu japo nitaonekana namtetea Mou. Vuta Picha Mou akimpiga na kiatu Pogba Leo nini kitatokea. Kwa Ferguson ilionekana yupo serious na mpira ila Kwa Mou haitoonekana hivyo. Mambo yamebadilika.
Mwaka alomnunua Rio Ferdinand , total spending kwenye transfer market ni 32M, alipomnunua Veron na RVN 49.6M, kamnunua rooney for 25M hakununua mwengine (Usajili dirisha kuu). Hatukuweza ku compete na our European Rivals ambao kina Madrid, tumeshindwa kupata wachezaji kutokana na hela ya kununulia ama mshahara wa mchezaji.... Uhuru wa fedha alokuwa anao Fergie sio huu alokuwa nao Mou, Mou ana uhuru mkubwa sana, nasikia na January wana mpango wa kumtengea 100M azidi kupoteza hela mana tunazo nyingi siku izi.Kingine ambacho naomba nipishane na wewe ni kuhusu Ferguson kufanya kazi Kwenye tight budget. Sioni kama Ferguson alifanya kazi Kwenye bajeti ndogo (ukilinganisha soko la kipindi kile na kipindi hiki). Mfano usajili wa Rio Ferdinand,Juan Sebastian Veron(ali flop), Rooney,RVN
Mkuu sijui unatumia kigezo gani kufananisha bajeti ya City ya wakati huu na United wakati huoKuwa na power manake ni kuiambia bodi unachotaka na ikakubali ama kumwambia mmiliki unachotaka akakubali, in short ukamueka chini na kumcontrol utakavo, hii power mpaka sasa wanayo makocha wa Citeh tu, Guardiola atakachoiambia bodi wanakubali tu. Kipindi hicho hao akina rio na wengine hela ilionekana nyingi kweli, lakini vipi ukilinganisha na signings za Madrid ama Citeh? zinafanana kweli kwenye manunuzi kipindi icho? Ukitizama hizo transfer windows wakati wa SAF how much he spent and how much others spent ndio utajua kama the guy had a very limited budget. Sasa iv Power ya spending Mou ikoje? Sasa tunashindana na hata Real Madrid kwenye kuspend, tatizo letu we dont spend wisely!!!
SAF na Glazer hawa jamaa walikuwa wanamvutano wao, lakini SAF alijua how to work with the resources he had. He had no power over the board decisions. Uzuri wa MUFC ni kwamba ukiwa manager, basi kazi zako huingiliwi, na Mou ana enjoy same freedom ila jamaa zilipendwa.