Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Tukutane Baadae kule wewe huku kwenye premier League una balaa sanaHuyo mtoto nyie hamumuwezi mkuu dawa yake tunayo sisi City
Tukutane Baadae kule wewe huku kwenye premier League una balaa sanaHuyo mtoto nyie hamumuwezi mkuu dawa yake tunayo sisi City
HahahahahahahahahahahahahahahahaTottenham hawanisumbui kichwa kabisa.. me najipigia tu
Hahah poa poa bro tutakutana mida ikifikaTukutane Baadae kule wewe huku kwenye premier League una balaa sana
Umekosea kk..huyu jamaa simkubaligi kabisa mkuuWe jamaa na wewe unasema Mou aondoke? Nakumbuka ulikuwa ni mlinzi wake hasa, labda kama nimekosea
Sanchez, Mata, Ashley Young, lindelof, Lingad,... hao wote wana maumbo makubwa sio???.. Fikiriaga mara mbili mbili..Sifa za wachezaji wanaoweza kupata namba kwenye kikosi cha mou ni kwanza uwe na umbo kubwa na pili ukimbie kimbie sana uwanjani. Vingine ni ziada sana.


".....Mou sio wa kuwepo united kabisa sijui tunasubiri nini, jana kawadiss kina martial,rashford,lingard na Shaw alafu leo waje wacheze vizuri..... Tunashindwa nini kuchukua kocha mzuri tunashindwa nini kumtoa Mou mapema ili kocha anaekuja ajijue aanze kuangalia target zake.....Mourinho ndo zake..fellaini angebahatisha goli ungemsikia"Fellaini gives us some stability in the middle and also offer something different in our attack"..kumbe amebahatisha tu kupiga kichwa.Kocha amefanya team ishinde kibahati bahati tu kamuingiza Fellaini aje afunge mipira ya kichwa angefunga ungesikia.... "the players fought well and the tactical change was good as Fellaini never back down his fighting spirit".....Mou sio wa kuwepo united kabisa sijui tunasubiri nini, jana kawadiss kina martial,rashford,lingard na Shaw alafu leo waje wacheze vizuri..... Tunashindwa nini kuchukua kocha mzuri tunashindwa nini kumtoa Mou mapema ili kocha anaekuja ajijue aanze kuangalia target zake.....
Honestly napenda mno aje jardim pia tumvute director Alex Campos wa Lille.... Walifanya kazi wote Monaco na huyo Campos alipita pia Madrid, Monaco alifanya usajili mzuri wa watoto wote wale kina martial, mbappe, Bernardo, kina bakayoko, kina Mandy, akasajili falcao na wengine nadhani tumpe nafasi
Mourinho ndo zake..fellaini angebahatisha goli ungemsikia"Fellaini gives us some stability in the middle and also offer something different in our attack"..kumbe amebahatisha tu kupiga kichwa.
Yeah tumerudi, sio mumerudi (kiswahili gani hicho)Hatimaye mumerudi...
Naona Tottenham hawajakusumbua kichwa kabisa, umekula TMKTottenham hawanisumbui kichwa kabisa.. me najipigia tu
Mze babaa tabu ipo pale pale...Mzee baba unaangalia mpira lakini?
hahahahahahah acha babanguu. .jana tulicheza ili kumaliza dkk 90 sio kushinda.Naona Tottenham hawajakusumbua kichwa kabisa, umekula TMK
mkuu unacheka kama diamond baada ya kuona wale jamaa wamenyimwa kibali..Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Kocha amefanya team ishinde kibahati bahati tu kamuingiza Fellaini aje afunge mipira ya kichwa angefunga ungesikia.... "the players fought well and the tactical change was good as Fellaini never back down his fighting spirit".....Mou sio wa kuwepo united kabisa sijui tunasubiri nini, jana kawadiss kina martial,rashford,lingard na Shaw alafu leo waje wacheze vizuri..... Tunashindwa nini kuchukua kocha mzuri tunashindwa nini kumtoa Mou mapema ili kocha anaekuja ajijue aanze kuangalia target zake.....
Honestly napenda mno aje jardim pia tumvute director Alex Campos wa Lille.... Walifanya kazi wote Monaco na huyo Campos alipita pia Madrid, Monaco alifanya usajili mzuri wa watoto wote wale kina martial, mbappe, Bernardo, kina bakayoko, kina Mandy, akasajili falcao na wengine nadhani tumpe nafasi

Ile gemu fred ilikuwa inamuhusu sana na herreraMimi bado naamini hii game tumeharibu kutokana na zile subs' za kupangua pale kati haraka haraka.