Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilichogundua mourinho anapata tabu kwenye hivi vi timu vidogo kufunga magoli hashambulii bado tunakaba na vyenyewe vinacheza mfumo kama wetu sasa ngoma inakuwa nzito
Huyo sio kocha. Timu ndogo ndo za kupatia matokeo ila yeye ndo anapoteza.
 
•√Hatutaki tuchukue ligi kuu msimu huu lakini kushindwa kuwafunga palace OT ni ujinga mtupu..Tucheze basi vizuri kwenye baadhi ya games

•√Wakuu timu yetu ina shida nyingi ila Mourinho ni tatizo la kwanza..

•√Arsenal wameimarika kuliko sisi..flow ya mpira inaonekana,ila sisi ni kubahatisha tuu..

•√Mourinho ameshaichoka timu yetu kama pia sisi tulivyomchoka..Ni muda muafaka sasa atuachie timu yetu kwanza then mambo mengine yatarekebishika tu..
Yes. As soon as possible.
 
Lukaku,Rashford, Pogba na Mata wanacheza kinafiki kama alivyosema mwenyewe kuwa hawachezi kwa moyo. Lukaku huyu wa leo ni tofauti na niliyemwona Everton
 
Lukaku,Rashford, Pogba na Mata wanacheza kinafiki kama alivyosema mwenyewe kuwa hawachezi kwa moyo. Lukaku huyu wa leo ni tofauti na niliyemwona Everton
Wachezaji wamekosa kocha. Hata wewe kufanya kazi kwenye ofisi ambayo uongozi yake ni ya kipuuzi lazima ufanye kazi chini ya kiwango.
 
Hilo ni kweli kabisa. boss mbovu, hata ofic yake itakuwa mbovu
Timu kibao tu zinacheza vizuri japo wanawachezaji waliokuwa wakawaida tu..

Angalia Liverpool..Andy Robertson,,Milner,Wilnaldum,,Gomez..wewe kocha unaye pogba lakini hata kumfanya acheze unashindwa!!???..
 
Unaweza ukamvumilia Klopp miaka 6 bila kombe Ila Sio Mourihno kwa miaka 3..
Mourihno ni matatizo ndani na nje ya uwanja.

Nafikiri ameshafikia peak yake hana jipya tena kwenye soka la sasa kuanzia ufundishaji mpaka management ya wachezaji.

Bora hata Wenger aliflop baada ya kuanza project ya Uwanja akakosa hela ya kushindana sokoni.Mourihno kakuta timu ipo vizuri analetewa wachezaji wa maana still anazingua.Mou out.
Timu kibao tu zinacheza vizuri japo wanawachezaji waliokuwa wakawaida tu..

Angalia Liverpool..Andy Robertson,,Milner,Wilnaldum,,Gomez..wewe kocha unaye pogba lakini hata kumfanya acheze unashindwa!!???..
 
Man hii labda iifunge Arsenal ya Wenger Mkuu sio hii ya Emery.Arsenal Ile kaondoka nayo Wenger.
Yan Man U ni litimu la kijingaa sana. Linatoa droo na Crystal Palace linanichania mkeka wanguu. Hiv december 5 ndy Arsenal Afungwe na Man U hii!
 
Timu kibao tu zinacheza vizuri japo wanawachezaji waliokuwa wakawaida tu..

Angalia Liverpool..Andy Robertson,,Milner,Wilnaldum,,Gomez..wewe kocha unaye pogba lakini hata kumfanya acheze unashindwa!!???..
Liverpool au Man City hawana wachezaji wazuri kama United. Sisi tumekosa kocha. Hakuna mchezaji mbaya pale.
 
kusema kweli kwa wapenzi wa mpira wa mguu ambao hawaongozwi na ushabiki wa kinafiki, MAN UTD wanachosha na kuondoa utamu wa mpira pindi wanapocheza. Mimi sijapata kujua kama viwango vya wachezaji ndo umeshuka au kocha ndo ufundishaji wake umekosa ubunifu.

Mchezaji anapata mpira unaona kabisa hajui aipeleke wapi, kwakweli imefika wakati MU waanze uwekezaji upya wenda kwa kumchukua kocha mzaliwa wa United (mfano akina Giggs and Company), wachezaji akina Rashford (amelewa sifa kwa kuaminiwa akiwa bado kijana mdogo), Lukaku, Smalling,Jones, Matic wote waondolewe United.

United ilianza kuangaika kipindi cha Van Gaal kwa mfungaji akatafutwa Ibra na Falcao bado shida ikabaki vile vile, akaja akina Lukaku na Alex mambo yanazidi kua mabaya. Ni maajabu timu imeshafungwa magoli 22 na wao wamefunga magoli 21 ndani ya mechi chini ya 11 ya Ligi kuu. Sisi wapenzi wa mpira itatupendeza zaidi Man U wakianza uwekezaji upya, hakuna cha majina makubwa kwa upande wa ukocha na wachezaji wameshindwa tayari.

Sisi wenzenu bado tunaangaika wa mfungaji asiyetupa pressure mpaka sasa tokea enzi za Torres>Demba Ba> Etto>Falcao>Costa>Drogba>Morata>Mitchuy>Gerou......Bado tunaangaika tu.
Timu nyingi bado wanamwona na kumwacha Zaha wakati anaitaji kufundishwa kitu kimoja tu kulenga goli na wakati gani wa kutoa mpira mguuni wake.
 
Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namna
Yanatoka kwako hayo leo? Nilifikiri kwako wewe ni bora tubaki na Mourinho kuliko kuwa na pochettino unacheza vizuri lakini huna taji 😀 au nimefananisha mkuu?
 
Yanatoka kwako hayo leo? Nilifikiri kwako wewe ni bora tubaki na Mourinho kuliko kuwa na pochettino unacheza vizuri lakini huna taji 😀 au nimefananisha mkuu?
Mech ya crystal palace kanikera sana hata bodi ilimlinda sana wenger lakin kila kitu kina tamati yake mkuu kwani mimi ni jiwe au mti nikikaa mahali siwez kujisogeza au kubadilika?
 
Mech ya crystal palace kanikera sana hata bodi ilimlinda sana wenger lakin kila kitu kina tamati yake mkuu kwani mimi ni jiwe au mti nikikaa mahali siwez kujisogeza au kubadilika?
Unaweza kubadilika..... Wengine tuliona mapema tu
 
Si swala la upande mmoja wa kocha tu hata management kama anafukuzwa kocha inabak management isiyo na mipango kisoka ipo kibiashara tabu iko palepale hao wamilik wa hii timu vilabu vya marekan wamevifanya vya kibiashara sio vya kushindania ubingwa wao ni pesa
mi nilisema kuwa hii klabu sasa ivi it is all about money making and not football perfomance. Na Mourinho huyu atabaki mpaka mwisho wa msimu.

Apo Woodward kashapiga hesabu zake zamani, akimfukuza Mou itamalzimiu amlipe mamilioni ya pesa, akisha aajiri manager mpya kwa mamilioni mengine, na manager mwengine akija na yeye anataka wachezaji mamalioni yanazidi kutoka! Kwaio anaona bora tucheze kamari na huyu Mou kuliko gharama zote izo.

Lakini lazima tukumbuke kuwa SAF amechukua mataji uingereza na la UEFA chini ya matajiri Glazers. Kwangu mimi Glazers sio tatizo, tatizo ni woodward na Mou na wachezaji kwa ujumla.

Na vile vile, Woodward amempa hela Mou za kutosha.... Hakuna usajili wa maana aloufanya na ameshindwa kuweka discipline kwenye timu.
 
Back
Top Bottom