Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hajawahi sema yeye ndo chanzo cha kufungwa hata baada ya kumuanzisha Fellaini game ya city alisingizia eti tumechoka.....

Sijui board inawaza nini ila msimu ujao naona tunaenda Europa... Pia tunashindwa kuonesha movement za kutafuta goli sisi tukianza kurukaruka basi ndo dakika zote... Mou anatuongezea mzigo tu, tuchukue kocha mwingine apewe uhuru na director asimamie vizuri usajili na mikataba plus academy players....
Man u haifungi magoli siyo kwa sababu ya ubora wa wapinzani bali kwa sababu ya kujikaba yenyewe.

Jana timu ilikuwa inacheza bila malengo yoyote kila mtu alikuwa na ambition zake timu nzima imechoka kimwili na kiakili.
Tukiendelea hivi kwenye chrismass tutakuwa kwenye relegation zone
 
Jana nimemuangalia martial kaganda upande ule ule wa kushoto hii ina maana maelezo ya kocha huyu mtu ni mzur akiwa anatokea pembeni kuingia ndani ya box la adui nikamuona sanchez anashuka sehemu ya pogba kufuata mipira hii ina maana hakuna viungo wanaompelekea huduma twende mbele kushambulia kama ukianza na herrera,pogba na fred mbele kukawa na martail,rashford na sanchez au mata akakaa pa fred tayar timu ipo sawa

Shaw siwez kusema alikuwa na kadi ila darmian hana ubavu wa kumuweka bench dalot alicheza vizur sana mech ya liverpool vs porto uefa pale anfield tayar mzoef sijui kwa nini anakaa banch na mech iliisha 0-0
Lakini jana pia Darmian hakicheza vibaya sana japo mechi fitness ilikuwa ilikuwa shida kwake
 
Man u haifungi magoli siyo kwa sababu ya ubora wa wapinzani bali kwa sababu ya kujikaba yenyewe.

Jana timu ilikuwa inacheza bila malengo yoyote kila mtu alikuwa na ambition zake timu nzima imechoka kimwili na kiakili.
Tukiendelea hivi kwenye chrismass tutakuwa kwenye relegation zone
Nilichogundua mourinho anapata tabu kwenye hivi vi timu vidogo kufunga magoli hashambulii bado tunakaba na vyenyewe vinacheza mfumo kama wetu sasa ngoma inakuwa nzito
 
Timu haiwezi kufunga magoli kwasababu inavisaidia hivi vitimu kwa kujikaba yenyewe.

Inaumiza sana kuona Man u iliyopoteza focus namna hii dah
Nilichogundua mourinho anapata tabu kwenye hivi vi timu vidogo kufunga magoli hashambulii bado tunakaba na vyenyewe vinacheza mfumo kama wetu sasa ngoma inakuwa nzito
 
Sir Alex Ferguson alikuwa Kocha Bora na Most Successful manager kwenye EPL lakini sikuwahi Kumsikia Kwenye Press akijisifu Kuwa Yeye Ni Kocha bora Kuliko Makocha wote Wa EPL..

Wala sikuwahi Kumsikia akijisifu kuwa yeye Ni Kocha Bora duniani..

Lakini Morinho haipiti Wiki atajisifu mbele ya Waandishi Wa Habari na Kuponda Wachezaji..

Hili ndiyo Linalomdhuru..

Lakini Si Kweli Kuwa Pogaba au Fred wabovu!!!

Bali Mourinho anawafanya waonekane Wabovu.

Martial
Rashford
Lingard
Hawa wakipata Kocha mwenye Urafiki na Wachezaji basi nakuhakikishia Ni Kina Giggs wapya hawa.

Lakini Mou anawaona kama Wauza Mihogo ya Kuchoma pale Ferri zinapokaa gari za Tegete - Nyuki.
Ukiona mtu anatangaza vitu alivyokuwa navyo sasa hana dalili ya kufilisika kibaya mi nnachochukia kuponda players mbele ya media ujue wanaharibika kisaikolojia namuelewa sana lakin kwenye hicho kipengele ananichosha sana
 
•√Hatutaki tuchukue ligi kuu msimu huu lakini kushindwa kuwafunga palace OT ni ujinga mtupu..Tucheze basi vizuri kwenye baadhi ya games

•√Wakuu timu yetu ina shida nyingi ila Mourinho ni tatizo la kwanza..

•√Arsenal wameimarika kuliko sisi..flow ya mpira inaonekana,ila sisi ni kubahatisha tuu..

•√Mourinho ameshaichoka timu yetu kama pia sisi tulivyomchoka..Ni muda muafaka sasa atuachie timu yetu kwanza then mambo mengine yatarekebishika tu..
 
Mechi ya jana kanishangaza sana kumuacha fred nje ni kumdharau jamaa hata dalot yaani palace tunawaogopa? Sijui valencia anatatizo nae pia,,, Mi naona mourinho anatafuta sababu za kufukuzwa kwa sasa
Mkuu Mourinho alim mind Valencia, kipindi kile kimenuka United, mara matokeo mabaya, mara agombane na Pogba. Kuna Instagram mtu alipost kwamba Mourinho atumbuliwe, Valencia akai like hiyo post, tangu hapo Mourinho akamlia BaTi

Pia kuna incidence nyingine, Mourinho alitaka Valencia awepo uwanjani kwenye mechi nadhani ya Derby (kwakuwa ni Captain), Valencia hakwenda, hilo suaka pia lilimuudhi Mourinho.
 
Mkuu Mourinho alim mind Valencia, kipindi kile kimenuka United, mara matokeo mabaya, mara agombane na Pogba. Kuna Instagram mtu alipost kwamba Mourinho atumbuliwe, Valencia akai like hiyo post, tangu hapo Mourinho akamlia BaTi

Pia kuna incidence nyingine, Mourinho alitaka Valencia awepo uwanjani kwenye mechi nadhani ya Derby (kwakuwa ni Captain), Valencia hakwenda, hilo suaka pia lilimuudhi Mourinho.
Daaa hapa ni ngumu kuirudisha timu kwenye mstar maana yake wachezaj washagwanyika ni vigumu kupata chemistry ya timu huwez kuuza players wote kwa ajili ya kocha hapo atumbuliwe tu hamna namna.
 
Daaa hapa ni ngumu kuirudisha timu kwenye msatar maana yake wachezaj washagwanyika ni vigumu kupata chemistry ya timu huwez kuuza players wote kwa ajili ya kocha hapo atumbuliwe tu hamna namna.
Hahahahahaha, eti atumbuliwe

Akishatumbuliwa unamleta nani ambaye kwa sasa yupo sokoni

Moja kati kitu kinachoipeleka mbele City ni continuity, na continuity inaletwa kwa kiasi kikubwa na Sporting/Football Director

Sasa United inabidi tuanzie hapo kwa Sporting Director
 
Hahahahahaha, eti atumbuliwe

Akishatumbuliwa unamleta nani ambaye kwa sasa yupo sokoni

Moja kati kitu kinachoipeleka mbele City ni continuity, na continuity inaletwa kwa kiasi kikubwa na Sporting/Football Director

Sasa United inabidi tuanzie hapo kwa Sporting Director
Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namna
 
Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namna
Kusema ukweli, kuweka Zidane ni muendelezo wa majaribio tu (kwangu naona Zidane alipata mafanikio pale Madrid kwa kuwa alikuwepo mahali sahihi, wakati sahihi akiwa na wachezaji sahihi, sioni Zidane akitamba nje ya Madrid ile)

Angalau ungesema Pochetino, ambaye naye kimataifa (UEFA) bado hajaonesha cheche zake lakini kijumla namkubali ni kocha mwenye uwezo

Ila kuna kitu watu huwa tunakisahau, pamoja na ukweli kuwa Pochetino hajasajili msimu uliopita zaidi Moura (kama sikosei) je Spurs wameondokewa na Wachezaji wao tegemeo? Kwahiyo hawakuleta new faces lakini wamebaki na familiar faces ambao ni key players wao. Na hili ni jambo la kumpongeza mtu anayeitwa Daniel Levy, Mwenyekiti wa Spurs. Je United wana Daniel Levy?
 
Kuendelea kuamini Mourinho kuwa anaweza kubadili Man U ni ujinga. Huyu kocha sijui hata anafanya nini pale OT.

Umefanya niwe mbali na timu yangu na soka lake la kubahatisha kama Amonike.
 
Daaa hapa ni ngumu kuirudisha timu kwenye mstar maana yake wachezaj washagwanyika ni vigumu kupata CHEMISTRY ya timu huwez kuuza players wote kwa ajili ya kocha hapo atumbuliwe tu hamna namna.
Sawa mwalimu Kashasha
 
Kuna watu wana uchungu na hii timu aisee.."We are not fucking Cardiff"

Wape hawa makocha hiki kikosi chetu uone soka litakalopigwa..

1.Pouchetino

2.Jardim

3.Eddie Howe(Bournamouth)


Yaani Kocha unamtoa Mata na Pogba then kiungo anacheza Fellaini na "mchovu" Matic??..huu ni utani

 
David De Gea set for sensational move to PSG with deal poised to make him world's top earning goalkeeper
 
Yan Man U ni litimu la kijingaa sana. Linatoa droo na Crystal Palace linanichania mkeka wanguu. Hiv december 5 ndy Arsenal Afungwe na Man U hii!
 
Lukaku akiwa Belgium anacheza vizuri, akija Unuted anakuwa flop.

Wachezaji karibu ya wote wa pale United wana kiwango cha dunia, ila kocha amekosa mbinu za kuwatumia zaidi ya kuwatukana.

Kocha kila siku anaomba hela ya usajili ananunua wachezaji wanaoishia kukaa benchi halafu anataka tena hela anunue wengine.

Wachezaji ICON pale United kama DeGea na Pogba lazima waondoke sooner. Hata kama unalipwa hela kuliko wote ila timu isipoonyesha juhudi lazima waondoke.

Huyu kocha ni mzigo na kero. Hana la maana analofanya pale United. Hata tukichukua Champions league aondoke tu. Hana msaada wowote kwenye timu.

Bodi bado inaendelea kumuangalia kocha wa hovyo kama huyu ni dharau kubwa sana kwa mashabiki United.

Kwa msimu huu kumaliza nusu ya juu msimamo wa ligi ni bahati nasibu. United inataka kuwa kama Arsenal ambayo ikiingia top 4 inashangilia kama imechukua kombe.
 
Back
Top Bottom